joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mtaendelea kuota na kuomba vitu vya wenzenu badala ya kusupport wanamuziki wenu, nguo ya kuazima haisitiri mwili. Kama huko amenunua nyumba huku Bongo anaanzisha Radio na TV station baada ya kiwanda cha karanga, wapi anaingiza pesa na kutengeneza ajira?Kaiacha hapa hapa Kenya kisha anaenda kuchuma nyingine SA, Tz na pia Russia na kuileta Kenya so sioni ubaya ata apatiwe uraiya hapa Kenya aendelee kuukuza uchumi wa Kenya.
Tuko na kina nyashinski,sauti Sol,khali, Timmy ,nameless etc and we fully support them...diamond amependa Kenya sana we support him too ...kwa hiyo album yake kuna ngoma ya reggae ameaifia Kenya tuMtaendelea kuota na kuomba vitu vya wenzenu badala ya kusupport wanamuziki wenu, nguo ya kuazima haisitiri mwili. Kama huko amenunua nyumba huku Bongo anaanzisha Radio na TV station baada ya kiwanda cha karanga, wapi anaingiza pesa na kutengeneza ajira?
Hiyo ni sawa na msichana kulazimisha penzi toka kwa mvulana, Kenya mna matatizo ya akili, Diamond ni mfanyabiashara kama ilivyo kwa mfanyabiashara yeyote yule, anapenda sehemu yoyote iliyo na soko na biashara zake, kwanini watanzania hatupagawi kwa kusema investors wa Kenya wanaokuja kwa wingi Tanzania kwamba wanaipenda sana Tanzania?.Tuko na kina nyashinski,sauti Sol,khali, Timmy ,nameless etc and we fully support them...diamond amependa Kenya sana we support him too ...kwa hiyo album yake kuna ngoma ya reggae ameaifia Kenya tu
Kiingereza sio lugha ya Kenya wewe nyang'au. Hiyo ni lugha ya waingereza ndio maana inaitwa kiingereza. Acha kujikomba komba.,,,ndio jamii yake huwa naona anavyotatizika hata kuongea Kingereza.
Haha iyo story yote mwai nyanyako aichop. ....we send ma link joh...story zingine chapia mokoro....Hiyo ni sawa na msichana kulazimisha penzi toka kwa mvulana, Kenya mna matatizo ya akili, Diamond ni mfanyabiashara kama ilivyo kwa mfanyabiashara yeyote yule, anapenda sehemu yoyote iliyo na soko na biashara zake, kwanini watanzania hatupagawi kwa kusema investors wa Kenya wanaokuja kwa wingi Tanzania kwamba wanaipenda sana Tanzania?.
Miezi mitatu iliyopita alikua Rwanda, ambako alisema atafungua kiwanda cha karanga, alitaka kuonyeshwa nyumba za kununua na alisema anataka Rwanda iwe second home yake, mbona wanyarwanda hawajapagawa kama ninyi limbukeni?, hata Redio na Tv yake baada ya Tanzania, Rwanda itakuwa nchi ya pili kwenda kuzindua, lakini wanyarwanda hawapigi kelele, mna matatizo gani?.
Anzeni kuwajenga your musicians wafikie international level kama Diamond, acheni kushabikia vitu sio vyenu.Haha iyo story yote mwai nyanyako aichop. ....we send ma link joh...story zingine chapia mokoro....
Musicians wanajijenga buda... Wewe katume ma link storo zingine chapia mokoro wakoAnzeni kuwajenga your musicians wafikie international level kama Diamond, acheni kushabikia vitu sio vyenu.
Mbona wakenya hawajijengi, wanalalamika sana kwamba hamuwapi support kama mnavyowapa musicians wa Nigeria, Tanzania na US.Musicians wanajijenga buda... Wewe katume ma link storo zingine chapia mokoro wako
Haha sauti Sol unadhani mchezo...nyashinski????.... Dude are u not exposed.... Hizi vako zako chapia mokoroMbona wakenya hawajijengi, wanalalamika sana kwamba hamuwapi support kama mnavyowapa musicians wa Nigeria, Tanzania na US.
Hawapo katika level ya Diamond au Ali Kiba, kipindi cha kampeni za siasa hawajatumika popote, hata nyimbo zao hazikutumiwa na wanasiasa wenu, walitumia musicians toka BongoHaha sauti Sol unadhani mchezo...nyashinski????.... Dude are u not exposed.... Hizi vako zako chapia mokoro
Haha umewai skia rick Ross aki launch album south Africa???.Hawapo katika level ya Diamond au Ali Kiba, kipindi cha kampeni za siasa hawajatumika popote, hata nyimbo zao hazikutumiwa na wanasiasa wenu, walitumia musicians toka Bongo
Dem umebonga kama wazito ashu...big up...diamondi anahamia kwa wazitoInakuwaje kwake ni kitu kubwaaa ila Omarion haja posti hata kuonyesha alikuja Kenya.. je ni kwamba anampa msaada au? Inaelekea hajamlipa chochote ni charity work kwake kuja kufanya na kurudi kwao.
Duh!!!
Inabidi wajiongeze na kuomba sasa hata arushwe kwa masaa 24.. maana mwimbo jamaa na unini wote Kenya hajaurusha kabisaaaaaaa.. mameneja wake mmmmmh wajiongeze.. kweli Zari watammisi
Dem umebonga kama wazito ashu...big up...diamondi anahamia kwa wazito
Yani umesema ukweli kabisa...umeongea ka wanaume kumiSijakuelewa
Lol.. Ni kina Nani hao sauti Sol na nyashiski? Hata hapo Uganda tu hawajulikanaHaha sauti Sol unadhani mchezo...nyashinski????.... Dude are u not exposed.... Hizi vako zako chapia mokoro
Analeta au anachukua pesa Kenya! Wasanii wetu wote wanatajirikia Kenya from Mr Nice, Ay, Kiba to diamondCha maana ni kuwa analeta hela Kenya.
Actually nawakubali wote hao uliowataja. Sipendi Rais weak anayepelekeshwa hovyo Kama Kenyatta kwa Odinga. Sasa kila Odinga akisema tu Kenyatta anatekeleza, sijui Nani ndo Raisdiamond mwenyewe huwa anatamani angezaliwa Kenya sembuse kuhamia huku? cha kwanza uhuru na demokrasia hamna... shida kubwa ya tz kwa wasanii ni kukosa uhuru...nashangazwa na nchi yenye kukandamiza watu kiasi hiki...kama wabunge wanakamatwa na kufungwa sababu tu ya kumtaja rais sembuse watu wa kawaida..duh!!! afadhali umaskini kuliko kukandamizwa...mmekuwa kana kwamba mpo Nazi Germany mnaoongozwa na Adolf Hitlerππππ..tz ni nchi nzuri sana yenye baraka tele, amani na umoja ila tafadhalini mkatae chama cha CCM haswa Magu, huyo si rais..huyo ni dikteta..tofauti yake na Putin, Xi jinping, Duterte au Kim Jong-un natafta lakini sioni..infact anaweza akawa worse.
.View attachment 717544
View attachment 717544
Hahahaha umenikumbusha Mr.Nice msanii aliyebobea zama zile kabla hajasota. Kwa sasa yuko pale Mathare kwa vilabu hivi hivi show zake analipwa elfu Tano Kenyan money per show, na so lazima alipwe wateja wakikosa kuhudhuria. Mr Nice amekuwa moja wa Omba omba toka Tz, Tunawaomba muje mchukue mtoto wenu.Analeta au anachukua pesa Kenya! Wasanii wetu wote wanatajirikia Kenya from Mr Nice, Ay, Kiba to diamond
Sisemi muache kutusapoti ila sapoti pia wasanii wenu japo hamjui kuimba.