Diamond Platnumz moving to Kenya? Acquires a huge mansion in Nairobi Author

Kaiacha hapa hapa Kenya kisha anaenda kuchuma nyingine SA, Tz na pia Russia na kuileta Kenya so sioni ubaya ata apatiwe uraiya hapa Kenya aendelee kuukuza uchumi wa Kenya.
Mtaendelea kuota na kuomba vitu vya wenzenu badala ya kusupport wanamuziki wenu, nguo ya kuazima haisitiri mwili. Kama huko amenunua nyumba huku Bongo anaanzisha Radio na TV station baada ya kiwanda cha karanga, wapi anaingiza pesa na kutengeneza ajira?
 
Tuko na kina nyashinski,sauti Sol,khali, Timmy ,nameless etc and we fully support them...diamond amependa Kenya sana we support him too ...kwa hiyo album yake kuna ngoma ya reggae ameaifia Kenya tu
 
Hiyo ni sawa na msichana kulazimisha penzi toka kwa mvulana, Kenya mna matatizo ya akili, Diamond ni mfanyabiashara kama ilivyo kwa mfanyabiashara yeyote yule, anapenda sehemu yoyote iliyo na soko na biashara zake, kwanini watanzania hatupagawi kwa kusema investors wa Kenya wanaokuja kwa wingi Tanzania kwamba wanaipenda sana Tanzania?.

Miezi mitatu iliyopita alikua Rwanda, ambako alisema atafungua kiwanda cha karanga, alitaka kuonyeshwa nyumba za kununua na alisema anataka Rwanda iwe second home yake, mbona wanyarwanda hawajapagawa kama ninyi limbukeni?, hata Redio na Tv yake baada ya Tanzania, Rwanda itakuwa nchi ya pili kwenda kuzindua, lakini wanyarwanda hawapigi kelele, mna matatizo gani?.
 
Mwacheni tu ahamie jamani, sasa kuna faida gani ya kukaa hapa kila nyimbo inayotolewa inafungiwa mwacheni kijana wa watu akajitaftie zake rizki
 
Hiyo ni sawa na msichana kulazimisha penzi toka kwa mvulana, Kenya mna matatizo ya akili, Diamond ni mfanyabiashara kama ilivyo kwa mfanyabiashara yeyote yule, anapenda sehemu yoyote iliyo na soko na biashara zake, kwanini watanzania hatupagawi kwa kusema investors wa Kenya wanaokuja kwa wingi Tanzania kwamba wanaipenda sana Tanzania?.

Miezi mitatu iliyopita alikua Rwanda, ambako alisema atafungua kiwanda cha karanga, alitaka kuonyeshwa nyumba za kununua na alisema anataka Rwanda iwe second home yake, mbona wanyarwanda hawajapagawa kama ninyi limbukeni?, hata Redio na Tv yake baada ya Tanzania, Rwanda itakuwa nchi ya pili kwenda kuzindua, lakini wanyarwanda hawapigi kelele, mna matatizo gani?.
Haha iyo story yote mwai nyanyako aichop. ....we send ma link joh...story zingine chapia mokoro....
 
Haha sauti Sol unadhani mchezo...nyashinski????.... Dude are u not exposed.... Hizi vako zako chapia mokoro
Hawapo katika level ya Diamond au Ali Kiba, kipindi cha kampeni za siasa hawajatumika popote, hata nyimbo zao hazikutumiwa na wanasiasa wenu, walitumia musicians toka Bongo
 
Inakuwaje kwake ni kitu kubwaaa ila Omarion haja posti hata kuonyesha alikuja Kenya.. je ni kwamba anampa msaada au? Inaelekea hajamlipa chochote ni charity work kwake kuja kufanya na kurudi kwao.

Duh!!!
Inabidi wajiongeze na kuomba sasa hata arushwe kwa masaa 24.. maana mwimbo jamaa na unini wote Kenya hajaurusha kabisaaaaaaa.. mameneja wake mmmmmh wajiongeze.. kweli Zari watammisi

N.b. najua wengine wakifanya na mwenye mwimbo collabo hawalipwi.. so jua najua
 
Inakuwaje kwake ni kitu kubwaaa ila Omarion haja posti hata kuonyesha alikuja Kenya.. je ni kwamba anampa msaada au? Inaelekea hajamlipa chochote ni charity work kwake kuja kufanya na kurudi kwao.

Duh!!!
Inabidi wajiongeze na kuomba sasa hata arushwe kwa masaa 24.. maana mwimbo jamaa na unini wote Kenya hajaurusha kabisaaaaaaa.. mameneja wake mmmmmh wajiongeze.. kweli Zari watammisi
Dem umebonga kama wazito ashu...big up...diamondi anahamia kwa wazito
 
Cha maana ni kuwa analeta hela Kenya.
Analeta au anachukua pesa Kenya! Wasanii wetu wote wanatajirikia Kenya from Mr Nice, Ay, Kiba to diamond

Sisemi muache kutusapoti ila sapoti pia wasanii wenu japo hamjui kuimba.
 
diamond mwenyewe huwa anatamani angezaliwa Kenya sembuse kuhamia huku? cha kwanza uhuru na demokrasia hamna... shida kubwa ya tz kwa wasanii ni kukosa uhuru...nashangazwa na nchi yenye kukandamiza watu kiasi hiki...kama wabunge wanakamatwa na kufungwa sababu tu ya kumtaja rais sembuse watu wa kawaida..duh!!! afadhali umaskini kuliko kukandamizwa...mmekuwa kana kwamba mpo Nazi Germany mnaoongozwa na Adolf Hitler😀😀😀😀..tz ni nchi nzuri sana yenye baraka tele, amani na umoja ila tafadhalini mkatae chama cha CCM haswa Magu, huyo si rais..huyo ni dikteta..tofauti yake na Putin, Xi jinping, Duterte au Kim Jong-un natafta lakini sioni..infact anaweza akawa worse.
.View attachment 717544
View attachment 717544
Actually nawakubali wote hao uliowataja. Sipendi Rais weak anayepelekeshwa hovyo Kama Kenyatta kwa Odinga. Sasa kila Odinga akisema tu Kenyatta anatekeleza, sijui Nani ndo Rais

Mimi siwezi kuwa Rais afu mjinga mjinga ajitangaze yeye Rais nimuache lazima nimnyooshe, napenda marais firm who flex their muscles. Magu hawezi kubali huu upuuuzi

Democracy is overrated
 
Analeta au anachukua pesa Kenya! Wasanii wetu wote wanatajirikia Kenya from Mr Nice, Ay, Kiba to diamond

Sisemi muache kutusapoti ila sapoti pia wasanii wenu japo hamjui kuimba.
Hahahaha umenikumbusha Mr.Nice msanii aliyebobea zama zile kabla hajasota. Kwa sasa yuko pale Mathare kwa vilabu hivi hivi show zake analipwa elfu Tano Kenyan money per show, na so lazima alipwe wateja wakikosa kuhudhuria. Mr Nice amekuwa moja wa Omba omba toka Tz, Tunawaomba muje mchukue mtoto wenu.
 
Back
Top Bottom