B12 hapo anatamani kesho jumatatu kwny xxl aongelee sema ndo ivyo Ruge hataki habari za Domo yaan cheki face ya Twangala hapo anaficha tabasamundio yeye,kulia kwake kakaa jk comedian,kushoto mak juice,nyuma iceboy.
Ukiona hivyo ujue anamsumbua sana rohoniKulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.
View attachment 753306
Domo yupo poa ila tatizo ni huyu King KibaUmeona.
Hata kwa nguvu lazima amani ipatikane.
[HASHTAG]#simba[/HASHTAG] umenikosha.
Unajua watu wameona picha na sio video naamini video ikipatikana watu kama ninyi mtaumbuka sana tena sana, ila sababu ni picha ndio maneno yote yawatoka kama vile mlikuwepo eneo la tukioN
Hapo ukiangalia hiyo picha kwa makini naweza kusema kwa hicho alichokifanya Ali Kiba sio sahihi, yaani utoaji wa huo mkono kwa walioshuhudia hilo tukio wanaweza kusema Ali Kiba alikuwa hataki kutoa mkono/kushikwa mkono na Domo...
BINAFSI NI SHABIKI WA ALI KIBA ILA ANAPOFANYA TUKIO LISILOSTAHILI NAKUA MKWELI
[emoji1] [emoji1]Umwinyi ni dalili za tezi dume
Nikikwambia mimi ni huyo aliyevaa shati jeupe sijui utaamini!!!! Hebu nionyeshe... Hapo mkononi kashika nini huenda macho yangu hayaoni au simu yangu mbovuUnajua watu wameona picha na sio video naamini video ikipatikana watu kama ninyi mtaumbuka sana tena sana, ila sababu ni picha ndio maneno yote yawatoka kama vile mlikuwepo eneo la tukio
Utasemaje alikua hataki kutoa mkono wakati amemshika mikono yote miwili? unajua alikua ameshika nini mkononi? unajua maana ya mtu kupokea salamu yako kwa mikono miwili?
Hebu kajenge taifa kila kitu kulalamika tu,
Wabongo bhaaana.
Unajifanya una akili lakin huna kitu, nimekuuliza maswali machache hujajibu unaniambia mambo ya mkononi kashika nini, nyie ndio mnashikishwa mauchafu kwa kung'ang'ania mshikane mikono na mtu, mtu mwenyewe ndio anajua mkono wake kashika nini na swali kwanini amemshika pia kwa mkono huo mwingine? unajua maana yake? umejua kama alimtaka radhi kabla hajampa huo mkono ulisikia??View attachment 753702
Nikikwambia mimi ni huyo aliyevaa shati jeupe sijui utaamini!!!! Hebu nionyeshe... Hapo mkononi kashika nini huenda macho yangu hayaoni au simu yangu mbovu
we huoni anavyo salimi kwa heshima na mikono miwiliYooh mbona Kiba mkono anatoa kishingo upande
kiba100 katoa salamu kwa heshima kubwa sana na mikoni miwili ...Hahahaaaa domo kwa kupenda kugawa habari hajambo.najua insta leo sio msiba tena bali hili tukio
sasa mbona kaitowa na heshma mikono miwili kabisaUngejua visa Dai anavyomfanyia ingekuwa ww hata usingetoa mkono.
Sijawahi kufikiria kwamba unaweza Panic kiasi hicho, ok samahani kama nimekukwazaUnajifanya una akili lakin huna kitu, nimekuuliza maswali machache hujajibu unaniambia mambo ya mkononi kashika nini, nyie ndio mnashikishwa mauchafu kwa kung'ang'ania mshikane mikono na mtu, mtu mwenyewe ndio anajua mkono wake kashika nini na swali kwanini amemshika pia kwa mkono huo mwingine? unajua maana yake? umejua kama alimtaka radhi kabla hajampa huo mkono ulisikia??
Eti kama mimi ni huyo wa shati jeupe, lol
Pathetic.
Ndio maana kazi ya ualimu siiwezi maana kuelekeza mwanafuzi mbishi au mgumu kuelewa lazima upanic.Sijawahi kufikiria kwamba unaweza Panic kiasi hicho, ok samahani kama nimekukwaza
Ok, binafsi huwa sipendi kugombana na mtu, maana kuna maisha nje ya Jf,Ndio maana kazi ya ualimu siiwezi maana kuelekeza mwanafuzi mbishi au mgumu kuelewa lazima upanic.
Lol.
Sure.......basi walimwengu wapana ka meza za kamali.ruge hii Itakua imemuumapobest post: 26805212 said:kiba100 katoa salamu kwa heshima kubwa sana na mikoni miwili ...