Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

Amesema ukweli ila aache matambo. Ajifunze kwa producer wake aliyekuwa wanagombea jina la raisi wa wasafi (Bob junior)
Hii vita kaitaka Kiba mwenyewe, na hili ndo linatokea unapoanzisha vita na mtu kama Domo ambae wala hajali watu watasema nini juu yake. Maisha ya Domo ni kama open book huku ya Kiba yakiwa ya usiri mno lakini sio kwamba msafi. Akiendelea kutupiana madongo na mtu kama Domo ataishia kudhalilishwa kama hilo la kuambiwa bila shaka anafahamu habari za Domo na Amina. Hapa iwe kweli au si kweli, kwa tabia za Domo lazima watu wataamini kwamba aligonga mke wa Kiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…