Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Kwa wanaomchukia Diamond watamdhihaki na kumtukana ila kaandika kweli.
Ali Kiba kajijengea fikra moja kuwa yeye ni bora kuliko wanamuziki wote Tanzania, fikra hii haiakisi uhalisia wa maisha yake kimuziki.
Inawezekana akawa ni mwanamuziki mzuri lakini sio mzuri kuliko wengine wote.
Na kwa kiasi kikubwa mno uwepo wa Ali Kiba unategemea uwepo wa Diamond. Na ndio maaan Ali Kiba hatokuja kukubali suluhu na Diamond maana anajua hapo atakuwa keshapoteza kiki yote inayomuweka mjini.