Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

Nakubaliana na hili Madame, sababu Marioo kapost clip hao kina Naseeb and the Co. wanacheza na kuimba Sumu ya huyo Ali na mwenzie, kama ingekuwa wana hilo beef kweli sidhani kama hata hilo lingewezekana..
Hawa washajua kuwa Diamond hata akilinganishwa na Harmonize, hapati ile attention kwa sababu wote wamefanana almost kila kitu kiasi audience zao is almost the same.. Ila kwa kiba ni tofauti, ana personality, lifestyle, muziki na mashabiki wake tofauti kidogo kwa hiyo kutupiana vijembe inakuwa na attention kubwa zaidi.
Ali kiba nae hachukuliwi kama epitome ya commercial success ndio maana wasanii hawalinganishwi nae mara kwa mara in exception of Platnumz, Kwa hiyo wote wamejipata, wacha watumiane japo kwenye madongo wanatemeana nyongo za ukweli kias i😁😁😁
 
Hawa washajua kuwa Diamond hata alinganishwa na Harmonize, hapati ile attention kwa sababu wote wamefanana almost kila kitu kiasi audience zao is almost the same.. Ila kwa kiba ni tofauti, ana personality, lifestyle, muziki na mashabiki wake tofauti kidogo kwa hiyo kutupiana vijembe inakuwa na attention kubwa zaidi.
Ali kiba nae hachukuliwi kama epitome ya commercial success ndio maana wasanii hawalinganishwi nae mara kwa mara in exception of Platnumz, Kwa hiyo wote wamejipata, wacha watumiane japo kwenye madongo wanatemeana nyongo za ukweli kias i😁😁😁
Yeahhh ni kweli, na hata ile clipp kina mond, abdu kiba na jux walikuwa Wana cheza sumu ya kiba
FB_IMG_16907941401278212.jpg
 
Kabisa hata wanachobishana hakina kichwa wala miguu zaidi ya mafanikio ya nyumbani wakitoka nje ya Tanzania hata sio wasanii wakubwaa ambao wanaweza jaza watu.
Wacha waendelee na 'uswahili' wao huku wanaijeria wanazidi kupaa Kimataifa huko, wanajaza ma arena, wanapata tuzo bila kusahau collabo kila siku na wasanii wakubwa duniani.
 
Kipindi anaimba sinderela alikua na beef na nani aongelewe? Umeongea kama papasi
tatizo la wabongo ndio hili sasa. Sasa kumithilishana na wadudu ya nini?

Haya bwana, Mungu akuzidshie pale ulipotoa hilo tusi na akupe kile unachostahiki kwa hilo neno ulilonimithilisha nalo. Amiin.
 
Mond kaongea ukweli ila nimependa pale anamwambia aongeze ubunifu na strategies kwenye promotion.
Alikiba inabidi abadilike. Sasa hivi wanaenda sambamba na Rayvan na Mboso.
Huu sasa karibu mwaka wa 6 mnamwambia Ali kiba abadilike, jamaa yupo vilevile na Bado hamlalai mnamuwaza, hivi kwanini msishimdanishe Domo na jux au Barnaba, Kila siku kiba na jamaa yenu anaingia king Kwa [emoji146] kiba, ndo ujue kiba n mtu hatar na ndo maana anasumbua akili ya Domo days and night, tangu tumeakbiwa kiba abadilike mwaka wa 100 sasa na Bado anawanyima Raha, mshindanishen na konde bas kwan msanii ni kiba tu?????
 
Back
Top Bottom