Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

Kiba ANAJUA SANA MWANANGU na ndo maana mwaka wa 100 huu Domo na mashabiki zake wanahangaika na wewe na siyo JUX,KONDE,BARNABA wala nani....wanakiangalia wewe na unawaumiza bro, wasamehe kenge hao HAWAKUWEZI.
 
Alikiba kuanzisha ukirofi tena na simba kwa kuamua kumjibu kamaifuatavyo baada ya magoma yao kuachiliwa na kuendeleza ushindani wao wa soko la kimziki
FB_IMG_16908047567393704.jpg
 
Huu sasa karibu mwaka wa 6 mnamwambia Ali kiba abadilike, jamaa yupo vilevile na Bado hamlalai mnamuwaza, hivi kwanini msishimdanishe Domo na jux au Barnaba, Kila siku kiba na jamaa yenu anaingia king Kwa [emoji146] kiba, ndo ujue kiba n mtu hatar na ndo maana anasumbua akili ya Domo days and night, tangu tumeakbiwa kiba abadilike mwaka wa 100 sasa na Bado anawanyima Raha, mshindanishen na konde bas kwan msanii ni kiba tu?????
Wewe ndiyo anakunyima raha. Nimuwaze Kiba ana nini?
Niliacha kumfuatilia muda sana, maana nyimbo zake ukiwa unasikiliza kwenye sabufa sisikii ule mdundo wa biti. Tangia 2015 mpk leo hata sijui anafanya nini. Sioni hata u-king wake kwenye muziki.
Yo! Yo! Yo!
Timu kibatali mna matatizo sana. Yo!
 
Wewe ndiyo anakunyima raha. Nimuwaze Kiba ana nini?
Niliacha kumfuatilia muda sana, maana nyimbo zake ukiwa unasikiliza kwenye sabufa sisikii ule mdundo wa biti. Tangia 2015 mpk leo hata sijui anafanya nini. Sioni hata u-king wake kwenye muziki.
Yo! Yo! Yo!
Timu kibatali mna matatizo sana. Yo!
Umeandika upupu dadangu mwajuma kobazi ndefu
 
UTOTO WA HAWA WASANII SIJAWAHI KUUELEWA WALA KUUFUATILIA.

vijana wengi WAJINGA WAJINGA mnajua kweli kumbe ni...

1.kiki.
2. Ushindani WA kibiashara.
3. Kutengeneza Content.
4. Kujaza Followers.
5. Kupiga Fedha nk.

MNAOFUATILIA HIZO HABARI ZAO WENZENU NI MARAFIKI MNO WANAWADANGANYA WAPUMBAFU NA WAJINGA.
Na aliyewaambia wawe hivi ni Ruge

Ujinga tu.

Ngoja nafuatilia bandari huku Namtumbo
 
Acha waendele kucheza na akili za,mazuzu
Haya, anzeni kufawafatilia

Ova
 
Kiba anaimba tatizo waliomzunguka wanampa kichwa hawaangalii uhalisia imagine mtu umempita 6years kwenye mziki lakini yeye kakupita zaidi ya 10yeas kwenye mafanikio. Kuna kitu kinamponza kiba huko kujidai anasauti hata kama ipo ila inampeleka mm hata sijui. Mondi ni mfano halisi wa kuwa na menejimenti nzuri ufike mbali.
Sasa huyo Domokaya atulizane na mafanikio yake, anawashwa nn na kiba? Lol
 
Back
Top Bottom