Mwanamuziki wa kimataifa grade one kutoka nchini Tanzania Diamond Platinums kutokana na kuteswa kimapenzi kila kukicha na walimbwende , ndugu ,jamaa na marafiki wa karibu wameamua kukaa kitako na kumshauri ampose mwanadada mwenye heshima zake na mwenye kila kigezo cha kuitwa mke ili amtulize Diamond Platnums kwenye suala zima la mapenzi na kujenga naye familia isiyo teteleka.
Ndugu wamependekeza Diamond akampose mwanadadsa Caster Semenya bingwa wa Olympic katika masuala ya riadha.
View attachment 734572View attachment 734573View attachment 734574