Diamond Platnumz na Caster Semenya mapenzi mubashara

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mwanamuziki wa kimataifa grade one kutoka nchini Tanzania Diamond Platinums kutokana na kuteswa kimapenzi kila kukicha na walimbwende , ndugu ,jamaa na marafiki wa karibu wameamua kukaa kitako na kumshauri ampose mwanadada mwenye heshima zake na mwenye kila kigezo cha kuitwa mke ili amtulize Diamond Platnums kwenye suala zima la mapenzi na kujenga naye familia isiyo teteleka.

Ndugu wamependekeza Diamond akampose mwanadadsa Caster Semenya bingwa wa Olympic katika masuala ya riadha.

IMG_20180404_231847_074.jpg
IMG_20180404_231823_594.jpg
IMG_20180404_231902_079.jpg
 
Akicharangwa na diamond atabadilika, naunga mkono hoja
 
Mwanamuziki wa kimataifa grade one kutoka nchini Tanzania Diamond Platinums kutokana na kuteswa kimapenzi kila kukicha na walimbwende , ndugu ,jamaa na marafiki wa karibu wameamua kukaa kitako na kumshauri ampose mwanadada mwenye heshima zake na mwenye kila kigezo cha kuitwa mke ili amtulize Diamond Platnums kwenye suala zima la mapenzi na kujenga naye familia isiyo teteleka.

Ndugu wamependekeza Diamond akampose mwanadadsa Caster Semenya bingwa wa Olympic katika masuala ya riadha.

View attachment 734572View attachment 734573View attachment 734574
Ahahhhahahhah hiyo kubwa kuliko
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] imbombo jilipo mweeeee mweeeee mwee
 
Naona hamumtakii mema Dai..huyo Demu usikute ana dushe la pembeni.
 
Back
Top Bottom