Diamond Platnumz na Davido katika picha mpya MTV Award 2015

Diamond Platnumz na Davido katika picha mpya MTV Award 2015

hapana davido kaanza kutukanwa toka BBA alivyoshinda idrissa na dai ndo akachangia zaidi mitusi cc tumtukane davido (katufanyaje team kiba ) ila kawaumbua nendeni mkaombe msamaha

so hawa uliowasreen shoot hapa ni team diamond??? manke unavyotembea na hii screen shoot kwenye gallary yako,kam vile unatamani unsendie tena davido umkumbushe!!?? kwenye msafara wa mamba na kenge nao wamo, hawa ni mamluki tu walioamua kuchafua hali ya hewa ili kumchafulia diamond ndio maana there after now wapo bize kumkumbusha davido kuwa wapenzi wa dai walikutukana walikutukana ndio umekuwa wimbo wenu nao, ila yalivyowashuka hadi huruma davido kaziba maskio mapenzi yake kwa mond kama kawa.
 
hapana davido kaanza kutukanwa toka BBA alivyoshinda idrissa na dai ndo akachangia zaidi mitusi cc tumtukane davido (katufanyaje team kiba ) ila kawaumbua nendeni mkaombe msamaha

sasa na mlivyo na akili mgando ka maziwa mtindi yaliyoongezewa unga wa ngano, mnaforce kuwinnie out attention ya davido kwakujipendekeza kwake, alafu kishambaaaaa, eti mnamwa
bie davido team diamond walikutukana but we team kiba loves so much, diamond is a bad person we wish usingemtoa, umemtoa now anakutukana, maneno yanawatoka kama vichaa, alafu eti mtu akishatoa maneno ya shombo kwa diamond anamalizia na vote for davido vote vote vote vote for davido, mnajidai mpaka jina lake la utoto mnalijua eti vote for OBO aibu gani hiiiii??????
 
siku hizi ile signature yenu ya K4 REAL sikumbuki nimeiona lini kwa mara ya mwisho, au ndio kila mkitaka kuitype vidole vinakufa ganzi??? manake kaa ni moyo wa huma mnao, kumshabikia mtu kama kiba yataka moyl, najiuliza zile mbwembwe za KTMA zimeishia wapi??? am sure neither u team kiba mnayeijua ratiba ya kazi ya king wenu, kikubwa mbele yenu kwa sasa ni vote for OBOO, hivi ilikuwaje mambululaz wote mkajikuta sehemu moja??? wenyewe mnajiita familia na kweli familia yenu ni ya kipekee, alafu nyie watoto nyie, baba yenu akifulia mnamkimbia mnakwenda kudowea kwa jirani?? poor kiba this family of yours ni vichomi.
 
Kwa wale ambao hawangliii kupitia dstv ingia YouTube search viral Africa thread utacheki tuzo live
 
Back
Top Bottom