Diamond Platnumz na Jux wakwama kwenye lift kwa dakika 15

Diamond Platnumz na Jux wakwama kwenye lift kwa dakika 15

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,014
Reaction score
1,903
Diamond na Juma Jux.

Wanusurika kifo kwenye lifti siku ya Leo baada ya Lift kukwama kwa Dk 15.

Star Wa Muziki Africa [emoji881] diamondplatnumz Ameweka Wazi Kunusurika Kifo Kwenye Lift Akiwa Pamoja Na Juma_jux Na Watu Kadhaa. #Diamond Ame-Share Video Namna Tatizo Lilivyotokea Wakiwa Kwenye Lift Hiyo Na Kuandika [emoji116]

"Siku ya Leo mimi Juma_jux @fole_x na wenzetu kadhaa tumenusurika kifo kwenye Lifti.... Ndugu zangu wenye majengo marefu yenye kutumia Lifti tujitahidi kuzifanyia serivices hizi lifti zetu ili kuepusha madhara kwa Wananchi" - Diamond Platnumz

1689640622891.png



 
Wenye majengo makubwa mjini wanazingua Sana inabid waweke automatic generator transmission na liwe na MAFUTA muda wote maana TANESCO hawatabiriki pia watu wa service za elevator wawepo 24hrs kama security officers wanaolinda jengo
 
Back
Top Bottom