Diamond Platnumz na Jux wakwama kwenye lift kwa dakika 15

Inabidi ma engineer/wathibiti ubora majengo wa bongo wanyongwe kama wale wa Uturuki
 
Ni akina nani? Nyie mabint/madogo yaani jamaa zenu wakipata tu changamoto mnapost JF utadhani sisi sote tuna mahusiano nao.
 
Hizo kwapa zitakuwa zilitema balaa kwenye iyo confinement.
 
Hili swala watalizungumzia mwezi mzima, na watafanya hadi party ya kunusurika kifo na party hiyo itakwenda kwa jina la Surviving party
Surviving party [emoji322][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji322]
 
Kukwama kwenye lift dk 15 ndio kelele kibao mitandaoni? Je habari za wajawazito wanokuwa na prolonged labor saa kibao nao wasemeje?
Wanaume wa Dar bwana!
 
Msiwege mnapandaga kwenye malift ndugu zangu vita ya kiuchumi ni kubwa mno
 
Nimekua suffocated, anxiety, panic attack, vyote vimechanganyika kwa kuangalia hiyo video tu,

Pole yao kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…