Diamond Platnumz na Jux wakwama kwenye lift kwa dakika 15

Wanaogopa kifo lakini hawana hofu na aliyewaumba.Hata walipotoka salama hakuna kushukuru.
 
Kuna chawa nimemuona nahisi jamaa atakuwa kashamtoboa mana alivyomdandia…daah wanaume tunazidi kwisha wanawake kadhaa wanasa kwenye lifti
 
Kuna wengine uku mtaani wanaiiga hasa hiyo ya kutembea na vibukta vifupi sana
Hiyo ya kibukta kifupi kuna shemeji yangu mmoja alivaa, hiyo siku niliona aibu mie, yaani bukta fupi kuliko boxer unayoijua wewe.
AKawa anaivutavuta kuishusha kama vile madem wanaovaa nguo fupi wanavyofanyaga.
 
Hiyo ya kibukta kifupi kuna shemeji yangu mmoja alivaa, hiyo siku niliona aibu mie, yaani bukta fupi kuliko boxer unayoijua wewe.
AKawa anaivutavuta kuishusha kama vile madem wanaovaa nguo fupi wanavyofanyaga.
Mimi hii tabia inanikera acha tu alafu wanajikuta ndio mabishoo wenyewe kuna wengine tutakutana nao kwenye madaladala
 
Aise haao ndiyo watu wa kwanza kukwama kwenye lift bongo

Ova
 
Wangedanja tu,huenda tungepungukiwa na wanaotumomonyolea maadili kwenye jamii yetu🤔
 
Hivi umewahi kuvunja biscuit kwa meno kweli wewe?
 
Wanatafuta trend za nyimbo zao,hilo tukio ni la kupangwa kama mengine yanavyopangwa.
Na wabongo Kwa kushabikia upumbavu hawajambo.
Eti tumenusurika kifo
 
Nyimbo zimebuma kaamua aibukie huku.
 
Hivi ndo dress code mpya ya Dimond ya kukaa kifua wazi? Yy naona hakusuffacate humo maana hakua na shati..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…