Diamond platnumz na Kasimu mganga nani mkali wa nyimbo za mapenzi?

Diamond platnumz na Kasimu mganga nani mkali wa nyimbo za mapenzi?

Hata kama unampenda Diamond lakini hupaswi kumdharau Kassim, embu pitieni hizi ngoma muone;
1.Awena
2.Haiwezekani
3.Usiende kwa mganga
4.Subira ft.Bella
5.Tajiri wa mahaba
5.Ndoa ndoano ft.Blue
6.Manuari
7.Sijali
8.Majeraha ft.Akili the brain
9.Somo ft.Kilimanjaro Band
Lazima ujue kutofautisha kati ya x na msalaba izo kwa sisi wa ufipa hatuzielewi lakini leta kati cha ngololo sankoro tunashushia na kinywaji safii na nyama uyo anaelialia haeleweki huku
 
Kasim ni wakulinganishwa na Matonya au Belle 9
 
Kassimu Mganga anafanya Muziki.

Dimond anafanya biashara ya kupiga kelele kwenye Muziki.

Hiyo ni sawa ya kumlinganisha Adele na Lady Gaga eti kisa wote wanafanya Muziki.
 
Hata kama unampenda Diamond lakini hupaswi kumdharau Kassim, embu pitieni hizi ngoma muone;
1.Awena
2.Haiwezekani
3.Usiende kwa mganga
4.Subira ft.Bella
5.Tajiri wa mahaba
5.Ndoa ndoano ft.Blue
6.Manuari
7.Sijali
8.Majeraha ft.Akili the brain
9.Somo ft.Kilimanjaro Band
Huo wimbo wa Sijali ilikuwa balaa tupu.
Mara ya Kwanza kuusikia nilitumiwa dedication na mama ako mdogo.

Yote kwa yote pole kwa kipigo.
 
Bwaaaaaana eeee embua
Cha kulinganisha kasim
Na mtoto anaejifunza
Kiimba vtu vya kijingaaa
Hvo wacha kasimu aitwe kasim
 
Wale wa timu timu wameanza ila ukweli kassim anajuaa
Dimond nymbo mistr mitatu kiitikio mbwa nymbo nzimaa.....
 
Kwa nyimbo za mahaba kasim ndio mahala pake,hebu chukua kokoro halafu chukua na manuwari zisikilze then utaconclude mwenyewe.
 
Huo wimbo wa Sijali ilikuwa balaa tupu.
Mara ya Kwanza kuusikia nilitumiwa dedication na mama ako mdogo.

Yote kwa yote pole kwa kipigo.
Ahsante mkuu, naona mwisho wangu pale emirates umeshawadia [emoji22]
 
Hapana mkuu

Diamond hutumia misamiati mingi sana kwenye nyimbo zake kuliko kasimu

Mfano kwenye wimbo wa salome

"eeh mapenzi yananipa shida ,shida mamaaa

ni gonjwa lisilokuwa na tiba ,tiba bwanaa

usije baby ukanicharanga ,ukauchambua moyo kama karanga

mie baby kwenye msambwanda ,huwa siendagi nge nge nge ni nga nga nga"
Uko wapi msamiat hapo ndugu.... Nganganga ni nn?
 
Si alinifunza mapenzi, nlikiwa cjui kamwambie.. Akadekeza kishenzi na nyimbo nzur nimwibie.. So asidanganywe na gari burudani na fedha, Mimi akanichukia... Kamwambie

Af ile kuwa uone nilidhani magorofa.. Aaah na kumbe Mwana ukome hakuna cha kuokota, me bado nakaza moyo kpenz Chang, ila naumia kwakuwa mwenyewe... Mambo bdo magumu kwang, naztafuta nije kula nawewe.. Uki ukilala lalasalama

Tate Tate aah kinachoniuma niuma ni mazoea yanayofanya nikeshe ucku na mchana, aah umate umate aah mbele na nyuma nikingojea ooh uwenda ikabadili mfupa kuwa nyama.. Nitakukumbuka

Hapo bdo kuna chandachema, nitampata wapi, mawazo, moyo wang , mbagala, nitarejea, mapenzi basi, kizaizai, nataka kulewa, moyo wang, ukimwona, kesho, hellow, nimpende nani, kwanini, twashindwana, nalia na mengi, nataman na nyinginezo..
Mondi kuhusu mapenzi anangoma nyingi sana Kali na ndo zilzompa jina kuwa hapa nyumban na kwa hizi za sasa ni vice versa, mwenyewe anasema kupenya kwa wenzetu ni ngumu sana lazma uwaletee ujanja ujanja na ndo mana anatoba.. Ila kimsing kwa nyimbo za kinyumbani mondi balaaa
 
Kasim manguo yake kama magauni huwa yanaboa.au ndo mambo yenu ya mombasani
 
mi nashangaa humu tunazozana...ukweli ni kwamba wote ni mafundi wa nyimbo za mapenzi..ila kasimu amemzidi mond kwa kuimba mistari rahisi na pia nyimbo zake zina mafunzo tofaut tofaut but mond ukisikiliza nyimbo zake utagundua jumbe hazitofautiani
 
Back
Top Bottom