Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Kaimba Katelephone (Kassimu)binafsi sijawahi ruhusu device yangu yoyote ile ya music iwe cm,laptop nk ikae bila kuwepo na nyimbo ya manuari...sasa sijui ameimba nani kati ya hao wawili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaimba Katelephone (Kassimu)binafsi sijawahi ruhusu device yangu yoyote ile ya music iwe cm,laptop nk ikae bila kuwepo na nyimbo ya manuari...sasa sijui ameimba nani kati ya hao wawili.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]achana na hao ww mrisho mpoto ndo balaa kwenye nyimbo za mapenz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]achana na hao ww mrisho mpoto ndo balaa kwenye nyimbo za mapenz
Kasimu kacheza martial arts [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hii ndio naskia leo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kassim mganga ambaye pia ni mkali wa sanaa za mapigano (martial arts), ni msanii ambaye anatumia ladha za mwambao kufikisha ujumbe wake wa kimapenzi kwa hadhira husika. He is creative, huwezi kumcompare na platinumz, sema hadhira yake wapenzi ni wachache (including myself). Diamond ni msanii anayefanya kazi zake kulingana na upepo wa mashabiki unavoenda, wakitaka singeli anaangusha ngoma. Am not saying he is a not a great artist, he is good ila he looks where the money is... kama ingekua ni boxing, ningemfananisha na floyd mayweather jr.
Yes mkuu ana mkanda,mzuri tu kwenye hii tasnia yetuKasimu kacheza martial arts [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hii ndio naskia leo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]