Diamond platnumz na Kasimu mganga nani mkali wa nyimbo za mapenzi?

Kassim mganga ambaye pia ni mkali wa sanaa za mapigano (martial arts), ni msanii ambaye anatumia ladha za mwambao kufikisha ujumbe wake wa kimapenzi kwa hadhira husika. He is creative, huwezi kumcompare na platinumz, sema hadhira yake wapenzi ni wachache (including myself). Diamond ni msanii anayefanya kazi zake kulingana na upepo wa mashabiki unavoenda, wakitaka singeli anaangusha ngoma. Am not saying he is a not a great artist, he is good ila he looks where the money is... kama ingekua ni boxing, ningemfananisha na floyd mayweather jr.
 
Kasimu kacheza martial arts [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hii ndio naskia leo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…