Diamond Platnumz na Mbwana Samatta wanastahili kutunukiwa PhD ya heshima

Diamond Platnumz na Mbwana Samatta wanastahili kutunukiwa PhD ya heshima

Afadhali Samatta kafanya jambo ambalo halijawahi fanywa na mtz yeyote na pia ye binafsi ana heshima,, hivyo anastahili heshima ya taifa.[emoji818]

Lakini huyu diamond mzee wa vijembe na figisu haonyeshi kama ana heshima zaidi ya fitina, hastahili heshima ya taifa bali team yake wafikirie watakavyomuenzi[emoji808]
 
Dai apewe p
Slimsalim,
hd ya kuzalisha wanawake wazuri na watoto kukosa mapenzi ya BABA.

Apewe phd ya kugonge wafanyakazi wake, haachi kitu.
 
Kila mtu maarufu ikiweka sanamu yake pale Posta si Dar itakuwa kama Skopje - Macedonia?![emoji848][emoji848][emoji848]
Kila maarufu akitunukiwa phD ya heshima si itakuwa balaa!
Kama unajua jusoma vizuri na kuelewa kiswahili basi utagundua sijaandika wala kumaanisha kila maarufu!!
 
Vigezo vyako vyote ni dhaifu tena goigoi
Kuajiri watu wengi siyo kigezo wapo Akina "mo na bakhresa " hao nao tuwape Heshima gani?

Kuwa leta akina wiz kid na tiwa savage
Siyo sababu ya kuwa doctorate ' walio waleta akina 50cent nk wapewe nn??

Kikubwa cha kuangalia hapa ni diamond na samatta wameleta solutions kwa matatizo yapi mpaka wapewe hiyo Heshima

Tunawaheshimu lakini Wakajipange kwanza
 
Hivi huyu kweli ndio wa kupewa PhD ya heshima?!

Haya ni mambo binafsi sidhan kama ni hoja hapa,kama angekuwa anahubiri labda pengine tungelihusisha hili...na si diamond peke ake alie na ugomv na baba ake,namjua mtu ambae anakiri wazi bora akutane na nyoka kuliko baba ake wa kumzaa alimtelekeza na akamkana
 
Afadhali Samatta kafanya jambo ambalo halijawahi fanywa na mtz yeyote na pia ye binafsi ana heshima,, hivyo anastahili heshima ya taifa.[emoji818]

Lakini huyu diamond mzee wa vijembe na figisu haonyeshi kama ana heshima zaidi ya fitina, hastahili heshima ya taifa bali team yake wafikirie watakavyomuenzi[emoji808]
Mi nawaza tu hiyo samamu unaichonga halafu sikioni imewekwa eleni kama yeye alivyo halafu iwe symbol ya kuitangaza tanzania kimataifa

Na wakijikoroga tu wachonge ambayo yuko peku basi tutashuhudia sanamu ikiwa na vikuku miguuni
 
Weee ebu acha ujinga usiwe mropokaji kama msukuma

Mo kaajili watu zaidi ya laki na nauhakika hata wewe au ndugu zako wananufaika katika hili kupitia yeye

Mo kasaidia kaitangaza tanzania kimataifa kwa utajiri wake akiwa bado kijana. Sasa diamond kasaidia watu 200 na nauhakika katika hao watu 200 hauna ndugu hata mmoja anayenufaika na ajira hiyo lakini bado tu unataka achongewe sanamu serious??
Tatzo upo kubishana,sijasema Diamond ajengewe sanam kwa sabab kaajiri hapana,kuna watu wameajiri zaidi yake,na kama ishu ni ajira ningeanza na muajiri wa baba yangu au muajiri wangu anaeninufaisha moja kwa moja...na kama ubongo wako unasehem tatu,basi utaelewa nmeandika kwamba "na wengine wanaostahili".!!kwa hiyo kama mo nae anastahil why not??
 
Afadhali Samatta kafanya jambo ambalo halijawahi fanywa na mtz yeyote na pia ye binafsi ana heshima,, hivyo anastahili heshima ya taifa.[emoji818]

Lakini huyu diamond mzee wa vijembe na figisu haonyeshi kama ana heshima zaidi ya fitina, hastahili heshima ya taifa bali team yake wafikirie watakavyomuenzi[emoji808]
hebu eleza hapa hizo figisu na fitna.
 
Dai apewe p

hd ya kuzalisha wanawake wazuri na watoto kukosa mapenzi ya BABA.

Apewe phd ya kugonge wafanyakazi wake, haachi kitu.
Hata wewe ungekuwa na access hiyo ungefanya hivyo,pengine zaidi ya hivyo
 
Dai apewe p

hd ya kuzalisha wanawake wazuri na watoto kukosa mapenzi ya BABA.

Apewe phd ya kugonge wafanyakazi wake, haachi kitu.

Hata hiyo bado hastahili

Malegend tunamjua john sins alishawahi kadate na mademu wakali lakini hana sanamu
 
Vigezo vyako vyote ni dhaifu tena goigoi
Kuajiri watu wengi siyo kigezo wapo Akina "mo na bakhresa " hao nao tuwape Heshima gani?

Kuwa leta akina wiz kid na tiwa savage
Siyo sababu ya kuwa doctorate ' walio waleta akina 50cent nk wapewe nn??

Kikubwa cha kuangalia hapa ni diamond na samatta wameleta solutions kwa matatizo yapi mpaka wapewe hiyo Heshima

Tunawaheshimu lakini Wakajipange kwanza
ukiacha hivyo,ameleta mapinduzi sana kwenye tasnia ya music,kwa tuliobahatika kutoka nje ya Tanzania basi watakubaliana nami ukitaja Tanzania wanaojulikana bila kuuliza mara mbil mbil ni Nyerere na Diamond tu!!
 
Tatzo upo kubishana,sijasema Diamond ajengewe sanam kwa sabab kaajiri hapana,kuna watu wameajiri zaidi yake,na kama ishu ni ajira ningeanza na muajiri wa baba yangu au muajiri wangu anaeninufaisha moja kwa moja...na kama ubongo wako unasehem tatu,basi utaelewa nmeandika kwamba "na wengine wanaostahili".!!kwa hiyo kama mo nae anastahil why not??
Kuna mambo mengi ya muhimu serikali inatakiwa kufanya kwa manufaa ya nchi na wananchi kiujumla kuliko kufikia mawazo ya kujengeana sanamu.

Bora ungesema serikali itoe idhini kwa raia wake wawe huru kujenga sanamu zao kwa gharama zao kuliko kodi yangu nayotoa baada ya kuipata kwa ugumu halafu eti ikajenge sanamu ya mpuuzi mwingine
 
Wanastahili anaepinga nae afanye makubwa Apewe phD, hatutaki majungu kwenye mafanikio ya mtu!
Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kwa msanii kama Wizkid na Tiwa Savage kuja Tanzania, kualikwa na mtoto wa Tandale, mtoto alielelewa na single mother kwa maisha ya kubangaiza, mtoto ambaye hata Form 4 hajamaliza kama kamaliza basi kafeli) ni bonge la achievement.

KiukwelI Diamond kaleta mabadiliko makubwa mno na anastahili sanamu lake liwekwe pale mjini posta,na kumbukumbu zake ziwekwe makumbusho ya taifa, apewe hata PhD ya heshima akiwa hai tusisubiri afe ndo tuanze unafiki! Leo hii Diamond ameajiri watu zaidi ya 200, wenye elimu kumzidi na wasio na elimu. Watanzania tuweke unafiki na ushabiki pembeni, tuanze ku- appreciate vya kwetu.

Pia kuna mtu kama Samatta (SamaGoal), naye anastahili heshima ya PhD na sanamu lake liwekwe pale nje Uwanja wa Taifa.

Wapo wengi sana walioleta mabadiliko kwa nchi yetu tuwaenzi hawa ma living legends wetu tusisubiri wafe ndio tuanze UNAFIKI!!
 
Kuna mambo mengi ya muhimu serikali inatakiwa kufanya kwa manufaa ya nchi na wananchi kiujumla kuliko kufikia mawazo ya kujengeana sanamu.

Bora ungesema serikali itoe idhini kwa raia wake wawe huru kujenga sanamu zao kwa gharama zao kuliko kodi yangu nayotoa baada ya kuipata kwa ugumu halafu eti ikajenge sanamu ya mpuuzi mwingine
sio lazima sanamu mkuu,kuna njia nyingi tu,mfan hiyo PHD ya heshima wewe utapunguza nini kwenye kodi yako!?
 
chin nmeandika "wapo wengi wanaostahili" kwa hiyo si diamond peke ake!
Watu wamefanya makubwa na ya kukumbukwa kwenye fani zao. Nyimbo zote za Diamind zina zidiwa thamani na wimbo mmoja wa wa Ferous 'Starehe'
Afu unatuletea mihemko ya ugali wa shikamoo hapa.
Wasipewe tuzo watu ka Kina late Ruge tuwape watu ambao 15yrs to come watu watakuwa wanaulizana "huyu naye nani?"
Ebu kuwa serious kidogo asee
 
sio lazima sanamu mkuu,kuna njia nyingi tu,mfan hiyo PHD ya heshima wewe utapunguza nini kwenye kodi yako!?
Kama sio lazima sanamu basi hata hizi sifa anazopewa kupitia utim mond zinamtosha

Halafu heshima haiombwi huja yenyewe, ye kama kashindwa kujiheshimu kwa kutovaa eleni na vikuku unategemea nani amuheshimu?? kukiwa na wawili watatu wanaomheshimu inatosha sio lazima wote mbona mimi dingi yangu namuheshimu kwa heshima zaidi ya phd lakini silazimishi ajengewe sanamu???
 
Watu wamefanya makubwa na ya kukumbukwa kwenye fani zao. Nyimbo zote za Diamind ziba zidiwa thamani na wimbo mmoja wa wa Ferous 'Starehe'
Afu unatuletea mihemko ya ugali wa shikamoo hapa.
Wasipewe tuzo watu ka Kina late Ruge tuwape watu ambao 15yrs to come watu watakuwa wanalizana "huyu naye nani?"
Ebu kuwa serious kidogo
Ukisoma vizuri sijasema diamond anastahil kwa sababu ya hits songs,najua hits song wengi wamefanya wakini darasa,prof j na wengineo wengi ambao nikiwataja sitawamaliza...point ni je wameleta mabadiliko gan kwenye tasnia??na kingne sio Diamond pekee kuna kina P funk,Mj,Sugu na wengne ambao wanastahil kupewa heshima zao kwa mchango wao!!

afa cha mwisho acha kukariri maisha kwamba kila mtu anakaa kwao,na hata mtu anaweza akawa anakaa kwao lakini ni hustler na ana tengeneza pesa kuliko wewe ambae umepanga chumba kimoja,apartment au una nyumba yako!!
 
Diamond hajatoka kwenye maisha ya chini sana..kasoma private school .kukaa Tandale sio sababu..huwezi kufananisha na maisha duni ya vijijini..hivi mashairi ya nyimbo za Diamond unaweza kuyahifadhi kwenye kitabu wanafunzi wasome fasihi?
Kuna takataka zinadhani Diamond katoka maisha ya chini sana. Zinashindwa kujua baba yake alikuwa baharia tena mwenye mijengo Kariako na Magomeni.

Hiyo huyo domo katoka maisha magumu kuliko Joti na Masanja ?
 
Halafu heshima haiombwi huja yenyewe, ye kama kashindwa kujiheshimu kwa kutovaa eleni na vikuku unategemea nani amuheshimu??

Watu wamefanya mziki kitambo bila hayo madude na wanafanya poa tu kina Ay, Fa, Jay na wengie kibao still wanaheshimika afu yeye anataka watu wamheshimu asiyejiheshim. Non sense
 
Back
Top Bottom