Diamond Platnumz na Mbwana Samatta wanastahili kutunukiwa PhD ya heshima

Diamond Platnumz na Mbwana Samatta wanastahili kutunukiwa PhD ya heshima

kweli hujielewi..kwani kuna shida kuvaa hereni??wamasai wangapi wanavaa hereni??baadhi ya makabila mengi tu zaman walikuwa wanavaa hereni regardless ya gender,si ajabu ata babu yake babu yako alivaa hereni

Kwaiyo uko tayari kufanya kila kitu ilimradi kuna jamii fulani au watu kwao kufanya hilo jambo ni sahihi??

Wamasai pia wanaoana wao kwa wao ndugu wa damu. Mbona hajaiga na hii?

Halafu umesema wazee wa zamani, sasa kama wao walifanya hivyo kulingana na zama za ujinga kwasababu hakukua na elimu we unaanzaje kulifanya hili?

Huu upuuzi tutachekwa na mataifa mengine, eti serikali ijenge sanamu kudadeki yani waache kufokasi kwenye mambo ya msingi waanze kushoboka na pimbi mmoja ambaye hata nyimbo zake zimejaa maneno machafu???
 
ofcourse diamond ameipaisha sana Tanzania, na ameleta revolution kwenye mziki wa bongo, zaidi sana kwa kuufanya uwe kazi yenye heshima sio mambo ya kihuni ilivyokuwa inaeleweka enzi za kina sugu na kina dudubaya, suala la sanam well, inaweza kuwekwa picha yake makumbusho heshima ya sanam ni kubwa mno mkuu
 
Kwaiyo uko tayari kufanya kila kitu ilimradi kuna jamii fulani au watu kwao kufanya hilo jambo ni sahihi??

Wamasai pia wanaoana wao kwa wao ndugu wa damu. Mbona hajaiga na hii?

Halafu umesema wazee wa zamani, sasa kama wao walifanya hivyo kulingana na zama za ujinga kwasababu hakukua na elimu we unaanzaje kulifanya hili?

Huu upuuzi tutachekwa na mataifa mengine, eti serikali ijenge sanamu kudadeki yani waache kufokasi kwenye mambo ya msingi waanze kushoboka na pimbi mmoja ambaye hata nyimbo zake zimejaa maneno machafu???
mwanzo nlijua najibizana na mtu mwenye akil zake[emoji23][emoji23][emoji23] eti tutachekwa na mataifa mengine??[emoji23][emoji23][emoji23]hapa umepuyanga!!kila jamii ina mila na tamaduni zake,kama ilivo ulaya ushoga halali lakin Africa si halali....kama tamaduni zinaruhus why not?afu usiseme enzi za ujinga wakati sasa ndo tupo enzi hizo za ujinga iyo elim ambayo wewe unaiona ya maana ndo iyo inayomsifia vasco da gama na kumdhalilisha isike wa tabora sasa apo nan mjinga?
 
ofcourse diamond ameipaisha sana Tanzania, na ameleta revolution kwenye mziki wa bongo, zaidi sana kwa kuufanya uwe kazi yenye heshima sio mambo ya kihuni ilivyokuwa inaeleweka enzi za kina sugu na kina dudubaya, suala la sanam well, inaweza kuwekwa picha yake makumbusho heshima ya sanam ni kubwa mno mkuu
naam si lazima sanam,kuna njia nyingi za kuacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo....leo hii tumepata bahati ya kushuhudia hili,fikiria mtoto atakaezaliwa 2050 akielezwa hizi habari si sawa tu na sasa tunavyowaeleza watoto wa 2002 habari za Mr nice??
 
sijui kuhusu Mark Zuckerberg na Gates,ila angalia background ya Bakhresa na Diamond ni sawa??alafu kama unajua kusoma vizuri sijamaanisha wote waliotoa ajira wapewe PHD,hapa Tanzania kuna watu wametoa ajira kwa watu hata 1000+,kwa hiyo kwa kigezo hicho PHD zitajaa!!Ebu ukisoma fikiria kidogo,jenga logic ndo u comment
Hivi unajua bakhressa alikuwa anauza chapati huko Zanzibar akiwa fukara tu hata baba ako ana afadhali? Unalijua hill au hujui?
 
Kuna takataka zinadhani Diamond katoka maisha ya chini sana. Zinashindwa kujua baba yake alikuwa baharia tena mwenye mijengo Kariako na Magomeni.

Hiyo huyo domo katoka maisha magumu kuliko Joti na Masanja ?
Yes ni kweli na huko tandale alikuwa anishi kwenye nyumba yao tena nyumba nzuri tu na kasoma private school watu hawajui tu
 
innocent dependent,
Unawajua x plasters? Hawa jamaa wamewahi kuperfom kwenye tuzo za bet na Eminem kwenye section ya freestyle MTU mzima Eminem kasimama hapa x plasters wamesimamama kwa pembeni take jukwaa moja mtoto uliyezaliwa miaka ya 2000 huwezi jua,Mr nice kwenye ubora wake aliwahi kushindanishwa na redio za Uganda na Jose chameleon Uganda na akamshinda,Mr nice kaenda kuperfom Uganda Jose chameleon anapanda jukwaani anaimba na nyimbo za Mr nice unaongea nini we we? Au umelewa?
 
Hivi unajua bakhressa alikuwa anauza chapati huko Zanzibar akiwa fukara tu hata baba ako ana afadhali? Unalijua hill au hujui?
sitaki kuamin kama kichwa yako imebeba mate peke ake,habari za wazazi zimetoka wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23],kwani ukisoma apo nmesema Diamond pekee apewe hizo heshima??ebu rudia tena kusoma vizuri utaona kuna sehem nmeandika "na wengine ambao wanastahili" namaanisha walioleta mapinduz kwenye tasnia husika so yes kama Bakhressa ana deserve nae apewe!!

kingine io point ya hali duni sio ndo kigezo pekee,haijalishi mtu ametoka hali gan lakin iangaliwe juhudi zake zilizoleta faida kwa Taifa au tasnia husika!,mfano kama P funk katoka maisha safi lakini na yeye anamchango mkubwa kwenye tasnia ya Music Tanzania nae ana deserve kupata heshima anayostahili!!
 
gonamwitu, that's wat am sayin...watu waliofanya makubwa nchini wapewe heshima wanayostahil,apo mfan umetoa kwa Mr nice,fikiria nchi ingekuwa na mfumo mzuri wa kuwa recognize hawa Malegend wetu,leo hii mtoto wa 2002 ukimsimulia kwamba Mr Nice alikuwa mkubwa zaidi ya Diamond hapa nchini katakuona unazeeka vibaya,hapa nmewatumia Samatta na Diamond kwa sababu ndo wapo kwenye pick kwa sasa ila wapo watu wengi tu na si hawa peke yao!!
 
dogo kubwa, Yaani D kaufanya mziki uheshikimike?
Halafu tusemeje kwa Professor Jay.
Nyie mlozaliwa 2000 mnatusumbua sana asee.
 
Wapiga promo wa hili wengi wao wanyoa viduku na wavaa eleni

Michael jackson anasanamu aliyoijenga mwenyewe na hukuwahi sikia mashabiki wakilialia mitandani kuiomba serikali ijenge sanamu yake

Ni upuuzi tu unaoanzishwa na wapumbavu wachache wanataka tuonekane wote tuna akili sawa
Kabisa mkuu.
Kama vipi jamaa amjengee sanamu mwenyewe maana ni shabiki wake.
 
PhD waende shule wakasote ndio wapewe hizo PhD . Unafikiri PhD ni banzoka au pipi za kugawia watoto. Pamoja ni unguli wa Nyerere hakutunukiwa PhD , Mandela hivohivo, akina Ronaldo delima, Michael Jackson Pele n.k. wewe ulietoa hii point inawezekana ukikimbia shule uliishia darasa la pili
Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kwa msanii kama Wizkid na Tiwa Savage kuja Tanzania, kualikwa na mtoto wa Tandale, mtoto alielelewa na single mother kwa maisha ya kubangaiza, mtoto ambaye hata Form 4 hajamaliza kama kamaliza basi kafeli) ni bonge la achievement.

KiukwelI Diamond kaleta mabadiliko makubwa mno na anastahili sanamu lake liwekwe pale mjini posta,na kumbukumbu zake ziwekwe makumbusho ya taifa, apewe hata PhD ya heshima akiwa hai tusisubiri afe ndo tuanze unafiki! Leo hii Diamond ameajiri watu zaidi ya 200, wenye elimu kumzidi na wasio na elimu. Watanzania tuweke unafiki na ushabiki pembeni, tuanze ku- appreciate vya kwetu.


Pia kuna mtu kama Samatta (SamaGoal), naye anastahili heshima ya PhD na sanamu lake liwekwe pale nje Uwanja wa Taifa.

Wapo wengi sana walioleta mabadiliko kwa nchi yetu tuwaenzi hawa ma living legends wetu tusisubiri wafe ndio tuanze UNAFIKI!!
 
Slimsalim, Wewe inaonekana ulikimbia umande shuleni au ni standard 7 unajua PhD zinatolewa kama uyoga tuu. Kitu gani cha ajabu alichokifanya diamond au samatta mpaka atunukiwe hiyo PhD . Unajua kuna watu wamefanya vitu vikubwa Duniani Ila hawajatunukiwa hizo PhD
 
Slimsalim,

Uliyepuyanga hapo ni wewe eti ndoa za jinsia moja ni ulaya tu africa si sahihi, wakati juzi tu hapo mkenya kaenda kuolewa africa kusini na mwanaume mwenzake

Kama unafata utamaduni wa kimasai basi usiache kuvaa eleni tu bali anza na kukeketa watoto zako wakike
 
Back
Top Bottom