Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
kweli hujielewi..kwani kuna shida kuvaa hereni??wamasai wangapi wanavaa hereni??baadhi ya makabila mengi tu zaman walikuwa wanavaa hereni regardless ya gender,si ajabu ata babu yake babu yako alivaa hereni
Kwaiyo uko tayari kufanya kila kitu ilimradi kuna jamii fulani au watu kwao kufanya hilo jambo ni sahihi??
Wamasai pia wanaoana wao kwa wao ndugu wa damu. Mbona hajaiga na hii?
Halafu umesema wazee wa zamani, sasa kama wao walifanya hivyo kulingana na zama za ujinga kwasababu hakukua na elimu we unaanzaje kulifanya hili?
Huu upuuzi tutachekwa na mataifa mengine, eti serikali ijenge sanamu kudadeki yani waache kufokasi kwenye mambo ya msingi waanze kushoboka na pimbi mmoja ambaye hata nyimbo zake zimejaa maneno machafu???