Penda mziki wake Mkuu sio life styleHuyu dogo muda mwingine anapatwa na wazimu gani sijui... Tokea ametoboa pua siwezi hta kucheki picha yake insta nishamu unfollow kitambo, huu uzungu mwingi ukizidi anaaribu..
waachie kesi yao wamalizane nayo wenyewe, teh! huo ndo ulikuwa msemo waoPenda mziki wake Mkuu sio life style
Penda mziki wake Mkuu sio life style
Sasa Mkuu tuache unafiki Kati ya diamond na wizkid nani mkaliNdio maana nimesema nimemuunfollow insta sio Ku delete nyimbo zake...
Vipi team kiba naruhusiwa kuja kumpigia kura wizkid? hahahaha maana naona umekomaa sana kumpost wizkid kwenye page yako insta.. Diamond alikufanya nini???
Sasa Mkuu tuache unafiki Kati ya diamond na wizkid nani mkali
Au mahaba niuwe Mkuu haha
Mnabahati kale ni kajeuri hata kura hakaombi ila kazi ipo
Hawa ndio aina ya wasanii ambao DIAMOND angalau unaweza kuwashindanisha nao na hata wewe umelishtukia hilo HONGERA KWA KUSHTUKA. Nadhani tuzo ikija TZ utabadili kauli.Sasa Mkuu tuache unafiki Kati ya diamond na wizkid nani mkali
Au mahaba niuwe Mkuu haha
Mnabahati kale ni kajeuri hata kura hakaombi ila kazi ipo
Tuzo najua atakuja nayo maana anaoshindania nao hawapo serious hata kura hawaombi so lazima apate yyHawa ndio aina ya wasanii ambao DIAMOND angalau unaweza kuwashindanisha nao na hata wewe umelishtukia hilo HONGERA KWA KUSHTUKA. Nadhani tuzo ikija TZ utabadili kauli.
Kwahiyo waandaaji walipoweka sehemu ya kupiga kura wanaidanganya system yao ?????Kura za kuomba na kusisitiza watu wapige mara kumi kumi sidhani km ni ushindi huo zaidi ya kudanganya system. Mwanamuziki inabidi ukae kimya na kusubiri mashabiki waamue.
Sijawahi ona p square au Jose Chameleone wakiomba kura. Km wamefanya ni mara chache sana.