Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
He's flexing his pockets, not his looks. Mwacheni kijana asherekee mafanikio yake kwa amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uso wa tungi na moshi, kuurudisha katika hali ya kawaida ni kazi sana ...
Ingia hapa ukajifunze kila kitu kuhusiana na hayo mambo.Jamani mie mshamba na kuuliza sio ujinga ni kuongeza elimu....naomba kueleweshwa hivi hayo meno machafu ili yawekwe yale origin yanatolewa ama wanafanyaje?pliiz kwa anaejuwa wakuu aniondoe ushamba.
Na ndio mwendo wenyewe huo msije shangaa mdomo nao ukabanwa.Yesu wangu, kiruuuuu hivi huyu kaka ndio ameweka meno ya hivyo! he! mwishowe asije akawa kama Michael Jackson kubadilisha hadi pua!
Hiyo tabia wana shindana Diamond na Shetta utasema Kenge.Nahii ya kulamba lips siielewagi kabisa.