Diamond Platnumz na vito vya thamani kwenye meno

Diamond Platnumz na vito vya thamani kwenye meno

Am always happy cuz' wakati wote maisha binafsi ya msanii ( and in fact anyone else) huwa namwachia mwenyewe huku mimi niki-concentrate kwenye kazi zake! Haya mambo mengine ni Swaga tu za kistaa... huwezi kuzuia hili kwenye tasnia ya burudani cuz' it reveals a certain identity! Wewe leo hii uki-dress kama Platnumz na Platnumz aka-dress kama wewe (na-assume dressing ya kawaida) mkawa mmefuatana halafu surprisingly, Hayati Bob Marley akawatokea... Kuna kila uwezekano Bob akakufuata wewe believing unatoka from the same industry he worked for!
 
kunapoongelewa vitu vya maana msilete ushabiki wenu mandazi,hapa tunaongelea soko la kimataifa na si ubwege wenu huko vichochoroni.
kwa taarifa yako hakuna mwanamuziki anapiga hela ndeefu kwa show kama Chameleone na ni legend east Africa,ukija kwa P square tusiongee,sina mtimanyongo kwa Diamond ila naona tu huu ushabiki unaoendelea kwake si wa kujenga ni kubomoa.anatakiwa asimame zaidi yeye kama yeye kimwanamuziki,sio kutegemea mameneja 3,timu zitakazo mpigia kura,skendo na mademu ili kupata media coverage,wenzie hawafanyi hayo wametulia na family,wana hela ndeeefu sana na hawana kelele wanapiga kazi hela inaingia taratibu.
Mbona umeongea vitu vingi ambavyo havina maana? unashangaa kuwa na mameneja watatu? mbona umeishia hall tu, aujataja ma dancers! ma Dj's, nilifikili utampongeza kwa hilo, dancer wake tu wanaishi maisha ambayo waTz wengi hawana, Eti asimame kama yeye na asitegemee mameneja wake watatu, hapo ndipo ulipoonyesha kuwa sio muelewa wa mambo ya entertainment, na kesho utasema afanye show mwenyewe asipande na dancers wake. Dunia nzima hata kama unaimba vizuri vipi bila management nzuri kupata mafanikio ni ndoto, nimekwambia tuzo zote unazoziongelea wewe 60% ya maamuzi ni judges ndio wanaamua wewe unaleta habari za cheating the system, afu ukichunguza hii thread yako umeandika nonsense alafu umejisifu umeaongea kitu cha maana.
 
Nenda mcity pale kwa waarabu kaangalie 1gram ya gold/almas inacost sh ngapi then relate na haya macheni wanavaa wasanii wetu mingine mikubwa utadhani ya kufugia mbwa au utadhan ni slave trade era. Hapa ndio utagundua wengi sana wanavaa madubwana feki
 
mi nachompenda diamond ni kutoa ajira kwa maskini wenzake aliosota nao..

anasafiri na dancers wake kila mahali duniani..

mtu kama mose iyobo leo yupo nae washington wakati bosi tu serikalini safari mwikoooo..

ukiwa mfanyakazi wa diamond kujenga nyumba, kuendesha gari, na kusafiri kuiona dunia ni rahisi sana kuliko kuajiriwa serikalini au kwa wahindi...
Sembe inalipa lazima aende na watu wa kutosha wapige pesa
 
Binafsi sijamuona alichofanya kinywani ila kuna vyuma vinavyo wekwa na n Madentist kinywani kurekebisha mpangilio wa meno kama hayapo kwenye mpangilio mzuri zaidi ya hayo kama ni urembo mwingine tena baada ya kile kipini hata mimi sasa nitakuwa na mashaka na mwelekeo wa kijana wetu.
 
Nilimuona AY kavaa hizo ndude zinamtesa mdomo unajaa mate kama binti mwenye mimba changa.
 
Kwa wale wanaosema kuweka tattoo na vipini na heleni ni USHOGA niambieni hawa hapa Mashoga je hivo vitu viko wapi........... ina maana hata wewe usiyefanya chochote unaweza kuwa shoga.
images
 
Kuna sheikh zamani alinambia madini yanasaidia mwili wa mwanamke kulainika especial makalio nikamuuliza vp kusu hawa wavulana akanambia wachunguze sana utagundua nguvu zao za kiume zimepungua akadai hata mataifa ya magharibi ndio chanzo cha kuruhusu ushoga kwa kuwa yametawaliwa na wavaa hereni nikawa sina swali
 
bajatobpost: 16335406 said:
Nimeona pia katika baadhi ya
picha mitandaoni, ametoboa pua, to me loyality kwangu imeshuka hasa mwanaume kama yeye kutoboa pua.
An Diamond ajatoboa pua
 
Sasa hivi anaongea tofauti na uhalisia wake ili meno yaonekane.

Yani sijui kwanini watu wa Arusha wenye meno ya brown wanajiona wana mkosi wakati kuna watu wanatumia mamilioni kutaka kuwa ka wao.


upload_2016-6-3_14-55-27.png
 
Yesu wangu, kiruuuuu hivi huyu kaka ndio ameweka meno ya hivyo! he! mwishowe asije akawa kama Michael Jackson kubadilisha hadi pua!
 
jamaa yaan nimecheka mpaka mishipa ya kichwa Inauma sizani kama nitaweza kucheka Wiki hii!!

BANGO
 
Hivi kabla hajaamua kununua hiyo mimeno alizingatia ushauri kuhusu muonekano wa domo!?
 
Huo uso wa tungi na moshi, kuurudisha katika hali ya kawaida ni kazi sana ...
 
Back
Top Bottom