Am always happy cuz' wakati wote maisha binafsi ya msanii ( and in fact anyone else) huwa namwachia mwenyewe huku mimi niki-concentrate kwenye kazi zake! Haya mambo mengine ni Swaga tu za kistaa... huwezi kuzuia hili kwenye tasnia ya burudani cuz' it reveals a certain identity! Wewe leo hii uki-dress kama Platnumz na Platnumz aka-dress kama wewe (na-assume dressing ya kawaida) mkawa mmefuatana halafu surprisingly, Hayati Bob Marley akawatokea... Kuna kila uwezekano Bob akakufuata wewe believing unatoka from the same industry he worked for!