Diamond Platnumz na vito vya thamani kwenye meno

Diamond Platnumz na vito vya thamani kwenye meno

images
images
 
Jamani mie mshamba na kuuliza sio ujinga ni kuongeza elimu....naomba kueleweshwa hivi hayo meno machafu ili yawekwe yale origin yanatolewa ama wanafanyaje?pliiz kwa anaejuwa wakuu aniondoe ushamba.
 
Back
Top Bottom