Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Haijalishi, unamkumbuka OLD DIRTY BUSTERD-(ODB) unaukumbuka mdomo wake na meno yake?Hivi kabla hajaamua kununua hiyo mimeno alizingatia ushauri kuhusu muonekano wa domo!?
Ahakikishe procedure zote anazofanya ziwe reversible. Asije akajuta kama king of pop.Sasa hivi anaongea tofauti na uhalisia wake ili meno yaonekane.
Yani sijui kwanini watu wa Arusha wenye meno ya brown wanajiona wana mkosi wakati kuna watu wanatumia mamilioni kutaka kuwa ka wao.
View attachment 353284
No urembo tu, memo yako yapo pale pale,Jamani mie mshamba na kuuliza sio ujinga ni kuongeza elimu....naomba kueleweshwa hivi hayo meno machafu ili yawekwe yale origin yanatolewa ama wanafanyaje?pliiz kwa anaejuwa wakuu aniondoe ushamba.
Sura halisi ya bidhaa adimu nchini tz(sukari)Sasa hivi anaongea tofauti na uhalisia wake ili meno yaonekane.
Yani sijui kwanini watu wa Arusha wenye meno ya brown wanajiona wana mkosi wakati kuna watu wanatumia mamilioni kutaka kuwa ka wao.
View attachment 353284