Diamond Platnumz na WCB kiujumla mnatukosea

Diamond Platnumz na WCB kiujumla mnatukosea

Muziki wa hawa jamaa unakera masikioni..na wasanii wengine uchwara nao wanawaiga

Cha msingi ni kutokuwasikiliza kama huwaelewi
Tatizo ni kwamba huwezi ukaacha kuwasikiliza maana ni Kama maji usipoyanywa it's yaoga au kuyachambia.
 
not every thing for everybody
Mkuu. Hawafanyi kazi kukufurahisha wewe bali hadhira yao.
Kama nyimbo zinapotea baada ya wiki,kwa nini wao ndo wanaongoza kwa streams katika digital platforms hapa bongo???
Hii ni sawa na mashabiki wa tim fulani hivi. Utasikia eti nyimbo zake haziishi utamu halafu wamezitelekeza mitandaoni huko sijui wanasikiliziaga offline?????
Sio kila kitu kipo kwa ajili yako mkuu. we komaa tu na kina r Kelly hao otherwise utajitesa bure.
Fact wcb chama lao
 
tumpe mda na yeye atapita ila historia yake itakuwa hivi DAIMOND NDIO MSANII ALIEWEZA KUTOA NYIMBO ZINAZOPOTEZA RADHA NDANI YA WIKI kwahy mtoa mada hakuna namna tumuache
Unaupimaje huo muda? Wewe unaweza ukaona haziishi but kwangu zinaishi, na je Kama haziishi mbona zinaongoza kwa kutazamwa na streams zaidi hapa bongo na duniani...?
 
Majibu ya kike haya, dunia ya sasa ni ya ushindani wa hoja, umiza kichwa mtoto wa kiume, pinga kwa hoja mjini hapa ukiwa laini laiin hiv ni hatari
Hapa hatutaki hoja,na Kama unataka hoja nenda ukafundishe au kwenye mijadala mtoto wakiume kutaka kuelimishwa huko nako KWIO.
 
Sijui jamaa wameeidhika au vipi Ila kiukweli sikuhizi wanatoa nyimbo mbovu sana,hapa nauweka u wcb pembeni,kwa hadhi ya diamond hastahili kutoa nyimbo za aina hii
Wewe sio WCB ,maana WCB ni die hard fan ko tupotezeee chama laooooooooooooo.
 
Kwanza kabisa WCB sio kundi,Bali ni record label,afu kuhusu kukukosea ni wewe na sio wote na kwangu nyimbo zao Zina dumu Sana au una changanywa na hayo makundi ya kizungu kwasababu ya lugha ya kigeni wakati wazungu wenyewe wanazichoka,so calm down dawa ikuingie AMABOKO/AMABHOKO=MIKONO IKO NUMBER MOJA TRENDING YOUTUBE NA NIA AUDIO TU ,SO SUBIRI VIDEO IN 24 HOURE 1M VIEWERS NDO UTAJUA WATU HAWACHOSHWI MASIKIO YAO.
umenena mkuu
 
Just Audio, na ni namba moja YouTube chini ya saa 24!!
Inakera sana lakini inahitaji uvumilivu kwa msiowapenda WCB!!
 
Back
Top Bottom