We jamaa kavu sana...
Hilo ni jibu rahis sana kwa mtu kama ww...kwann uumize kichwa chako kumtaka msaanii akuimbie nyimbo ikae miaka 20 sokon? Demand ya mzik anaijua yeye na sio ww,mzik ni biashara,unataka afanye nini akuridhishe wew shabik mmoja wakat the rest wanataka hizo hizo ngoma za wiki moja na pesa anapata nzur tu...
Nitajie msaani saiz anaetoa ngoma ya kukaa miaka 20,,hao unaowaita westlife sijui wako wapi sasa? Juzi japo walijarbu kurud na ngoma zao hizo za kuish miaka 20 lakin kikwap? Game imechange...
Mwanaume kulilia mwanaume mwenzio akuimbie nyimbo ya miaka 20 that weird bro[emoji3] ,ww unalijua soko la Diamond? Ww unajua mashabik wake wanataka nin kuliko yeye mwenyew?
Sasa nakushaur tena... ingia YouTube, search westlife,pakua ngoma zao zote kisha enjoy mzik wa miaka 20 mkuu[emoji3]..usiumize kichwa chako kwa hao wcb