Diamond Platnumz na WCB kiujumla mnatukosea

Ngoma ni kali. nenda kwenye instagram ya mondi ukaone maandalizi ya video utakuja kufuta kauli yako hapa.

"But not every thing is for everybody"
So siwezi nikakupinga
Fact kaka ngoma ni international
 
Muziki wa hawa jamaa unakera masikioni..na wasanii wengine uchwara nao wanawaiga

Cha msingi ni kutokuwasikiliza kama huwaelewi
Tatizo ni kwamba huwezi ukaacha kuwasikiliza maana ni Kama maji usipoyanywa it's yaoga au kuyachambia.
 
Fact wcb chama lao
 
tumpe mda na yeye atapita ila historia yake itakuwa hivi DAIMOND NDIO MSANII ALIEWEZA KUTOA NYIMBO ZINAZOPOTEZA RADHA NDANI YA WIKI kwahy mtoa mada hakuna namna tumuache
Unaupimaje huo muda? Wewe unaweza ukaona haziishi but kwangu zinaishi, na je Kama haziishi mbona zinaongoza kwa kutazamwa na streams zaidi hapa bongo na duniani...?
 
Majibu ya kike haya, dunia ya sasa ni ya ushindani wa hoja, umiza kichwa mtoto wa kiume, pinga kwa hoja mjini hapa ukiwa laini laiin hiv ni hatari
Hapa hatutaki hoja,na Kama unataka hoja nenda ukafundishe au kwenye mijadala mtoto wakiume kutaka kuelimishwa huko nako KWIO.
 
Sijui jamaa wameeidhika au vipi Ila kiukweli sikuhizi wanatoa nyimbo mbovu sana,hapa nauweka u wcb pembeni,kwa hadhi ya diamond hastahili kutoa nyimbo za aina hii
Wewe sio WCB ,maana WCB ni die hard fan ko tupotezeee chama laooooooooooooo.
 
umenena mkuu
 
Just Audio, na ni namba moja YouTube chini ya saa 24!!
Inakera sana lakini inahitaji uvumilivu kwa msiowapenda WCB!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…