yaani wangepata usingejivunia kama mtz au
Alisoma shule gani vile?
Watu hawalioni hilo, bali wanachojua ni kuponda tu!!!! Baadhi ya Watanzania tabia zao zinasikitisha sana kusema kweli. Dah!!!! Ile kuwa nominated tu ni ushindi mkubwa sana kwa kuiwakilisha Tanzania. Huwa nafuatilia sana blog mbali mbali za Wanigeria kuhusiana na akina P Square sijawahi kuona wakipondwa hata siku moja labda wenye blog zao huwa wanazifuta. Tuna safari ndefu kusema kweli.
Ningefurah ila nimetabiri kwani uongo? ?za KTMA mlisema nyota ya Wema haya na za huko south nyota ilisafirii ninii
Watu hawalioni hilo, bali wanachojua ni kuponda tu!!!! Baadhi ya Watanzania tabia zao zinasikitisha sana kusema kweli. Dah!!!! Ile kuwa nominated tu ni ushindi mkubwa sana kwa kuiwakilisha Tanzania. Huwa nafuatilia sana blog mbali mbali za Wanigeria kuhusiana na akina P Square sijawahi kuona wakipondwa hata siku moja labda wenye blog zao huwa wanazifuta. Tuna safari ndefu kusema kweli.
Walitisha xna wenye wivu mjinyonge jaman..!
ucje mbio utajkwaa hauoni kala pozi 1 matata xn,
kwanza mshikaji msimcchukulie pia kwani asha hustle katika maisha pia anajuaa shida kama kauza mitumba sana so anajuaa nn maana ya life...kweli dogo lazima mumkubalI tuache jelousthe boss aheshimiwe na nan? nakwalip? hzo ni stage zake binafs zakupanda katka maisha. kwan ulosomanao wewe wangap mateja au maisha hayajawanyookea? akehishimiwe kwenyefamilia yake.
Inasikitisha sana..nadhani wanashangaa sana anavyotukanwa.wakienda kwa wenzetu kupiga mziki kama congo,na kenya na burundi.wanafurahi hatari hapa bongo wanatukanwa tu..inasikitisha kweli kama mtu ajasoma au nini tatizo..mbona wengi wamesoma na hawana lolote..