Diamond-Platnumz na Wema Sepetu(MAMA 2014) walitisha, couple zuri sana

Diamond-Platnumz na Wema Sepetu(MAMA 2014) walitisha, couple zuri sana

Inasikitisha sana..nadhani wanashangaa sana anavyotukanwa.wakienda kwa wenzetu kupiga mziki kama congo,na kenya na burundi.wanafurahi hatari hapa bongo wanatukanwa tu..inasikitisha kweli kama mtu ajasoma au nini tatizo..mbona wengi wamesoma na hawana lolote..
 
the boss aheshimiwe na nan? nakwalip? hzo ni stage zake binafs zakupanda katka maisha. kwan ulosomanao wewe wangap mateja au maisha hayajawanyookea? akehishimiwe kwenyefamilia yake.
 
Jamaa nampongezaa anafanya vizuri sana aisee...Mhh ila wema aangalie kilo hizo hizo ,diamond kiportable kwake
 
Watu hawalioni hilo, bali wanachojua ni kuponda tu!!!! Baadhi ya Watanzania tabia zao zinasikitisha sana kusema kweli. Dah!!!! Ile kuwa nominated tu ni ushindi mkubwa sana kwa kuiwakilisha Tanzania. Huwa nafuatilia sana blog mbali mbali za Wanigeria kuhusiana na akina P Square sijawahi kuona wakipondwa hata siku moja labda wenye blog zao huwa wanazifuta. Tuna safari ndefu kusema kweli.

Tatizo ni wivu.
Hata wanaomponda deep inside wanaukubali ukweli kwamba Diamond ana kitu kikubwa ndani yake.
Diamond pamoja na kuwa na elimu ndogo lkn ameweza kufanya mambo mengi ambayo wanamuziki wote wa nyuma yake hawakuweza kufanya.
Apart from having nice vocals,he is genius and different.
 
Ningefurah ila nimetabiri kwani uongo? ?za KTMA mlisema nyota ya Wema haya na za huko south nyota ilisafirii ninii

sio kila unaposikia nyota ukadhani inatumika mahala pote ile ni lugha ya picha kufikisha ujumbe uliokusudiwa
 
By Honey Faith:
"Nina jicho la tatu kazi yake huwa ni kuzoom vitu"
Dah,Una misemo!
 
Watu hawalioni hilo, bali wanachojua ni kuponda tu!!!! Baadhi ya Watanzania tabia zao zinasikitisha sana kusema kweli. Dah!!!! Ile kuwa nominated tu ni ushindi mkubwa sana kwa kuiwakilisha Tanzania. Huwa nafuatilia sana blog mbali mbali za Wanigeria kuhusiana na akina P Square sijawahi kuona wakipondwa hata siku moja labda wenye blog zao huwa wanazifuta. Tuna safari ndefu kusema kweli.

Hey.........!
 
Watu mnashindwa kusema ukweli na ndio mnao potosha watu wengine.Huyo ndomo watu hawachukii au hawana wivu na music wake,watu hawapendi life style ya scandal scandal wakati wote tena zote ni za chupini.Kwangu sion kama ni super star ambaye ni role model!Mbona lady jd ni fomous hata huko nje lakin hana maisha ya scandals?HAKUWA NA HADHI YA KUPATA KURA KUTOKA KWANGU.
 
the boss aheshimiwe na nan? nakwalip? hzo ni stage zake binafs zakupanda katka maisha. kwan ulosomanao wewe wangap mateja au maisha hayajawanyookea? akehishimiwe kwenyefamilia yake.
kwanza mshikaji msimcchukulie pia kwani asha hustle katika maisha pia anajuaa shida kama kauza mitumba sana so anajuaa nn maana ya life...kweli dogo lazima mumkubalI tuache jelous
 
Inasikitisha sana..nadhani wanashangaa sana anavyotukanwa.wakienda kwa wenzetu kupiga mziki kama congo,na kenya na burundi.wanafurahi hatari hapa bongo wanatukanwa tu..inasikitisha kweli kama mtu ajasoma au nini tatizo..mbona wengi wamesoma na hawana lolote..

kweli kabisa kwani hao wakina michael jackaon na wengne wana elimu gani zaidi zaidi ya good management ktk mziki wao...dogo mtoto wa tandale katoka zamani dogo ashauza sana mitumba asha hustle sasa watoto wa kota wana mmind kmbuka hawato muweza dogo huyu diamond
 
Back
Top Bottom