Watu mnashindwa kusema
ukweli na ndio mnao potosha watu wengine.Huyo ndomo watu hawachukii au
hawana wivu na music wake,watu hawapendi life style ya scandal scandal
wakati wote tena zote ni za chupini.Kwangu sion kama ni super star
ambaye ni role model!Mbona lady jd ni fomous hata huko nje lakin hana
maisha ya scandals?HAKUWA NA HADHI YA KUPATA KURA KUTOKA KWANGU.