Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Diamond Platnumz, nyota wa Bongo Fleva, amesema anaogopa kuzungumzia masuala yanayohusu Serikali wakati wa mahojiano katika kituo chake cha redio, Wasafi FM.
Akijibu swali kuhusu jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, chini ya Paul Makonda na Mwana FA, Diamond amesema:
"Unajua mambo ya kiserikali naogopa ogopa sana, kwa sababu nachangamoto kweli mshikaji wangu, alafu sisi wengi tunapenda kusema ukweli, na unaweza kusema ukweli upande mmoja au mwingine ukakuletea madhara bure, kwahiyo naona[ga] miyeyusho"