Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wewe endelea kula hela za ads tu, niishie hapo."Unajua mambo ya kiserikali naogopa ogopa sana, kwa sababu nachangamoto kweli mshikaji wangu, alafu sisi wengi tunapenda kusema ukweli, na unaweza kusema ukweli upande mmoja au mwingine ukakuletea madhara bure, kwahiyo naona[ga] miyeyusho"
SijaelewaHivi Wasafi ni Ya Quavo 😂?
ila huu usanii huu.
Wasafi ni ya Domo kazi ?Sijaelewa
Mke wa Kusaga Joseph ndio mwenye share kubwa, uliza swali lingine twende haraka kidogoWasafi ni ya Domo kazi ?
Kabisa, uzuri tuliwaambia mapemaToo late
😅 labda wasiojulikanaAnaogopa kipi
😅😅Hivi Wasafi ni Ya Quavo 😂?
ila huu usanii huu.
Anajua uovu wa Serikali yake aliyoipigia debe, sasa hivi anakumbuka tuliwaonya ila hawakusikia na kututusi juuNilikuwa naangalia hiyo interview nimecheka sana.
Kwahiyo anataka kutuambia nini? Kwamba ukisema ukweli dhidi ya serikali kitakukuta nini?
Kama msanii kubwa wa hadhi ya Diamond anaogopa, hali ikoje kwa wananchi wa kawaida?