PostGE2025 Diamond Platnumz: Naogopa kuongelea mambo ya Serikali, unaweza kusema Ukweli ukapata madhara

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Haya matakataka na zile timu 2 za Kariakoo kama wananchi wakiamua kweli kuyapuuza hakika kichaka kingine cha CCM kinakua kimefyekwa.

CCM walishafeli kwenye jukwaa la mitandao wakimnadi Samuya wanachemka bado wanajaza mabots ila hayawezi bado .
Hata ukiwapuuza wasanii haisaidii kitu, CCM itaendelea tu udikteta wake na kuua watu
Acha watu waburudike na wasanii wao, kwanza sasahivi wengi wamepunguza uchawa, na mimi sioni kama wasanii ni maadui zetu. Watu walichotaka ni kuona wanajitenga na CCM, na imeshafanikiwa kwa hiyo mafedhuli halisi ni CCM, sio wasanii
 
Kwenye hili nakuunga mkono hy nchi wananchi wenyewe ndio waamuzi maswala ya kusema mtu awasemee mnawaponza wenzenu ingekuwa nch zingine lissu angeshatoka kwa shinikizo la wananchi ajabu miwananch yenyewe ipo kama matako ***** zenu wananch acha ccm itawale mbavu
 
Ko na ww ni matako.
 
Yeye si ni chawa wa serikali. Aseme tu, hawatamuua. Machawa wa CCM huwa hawauawi.
 
Mbona anaongea anajing'ata kishogashoga? Huyu mtu kaharibiwa sana na Pdidy aisee!
 
Nilikuwa naangalia hiyo interview nimecheka sana.

Kwahiyo anataka kutuambia nini? Kwamba ukisema ukweli dhidi ya serikali kitakukuta nini?

Kama msanii kubwa wa hadhi ya Diamond anaogopa, hali ikoje kwa wananchi wa kawaida?
Huyu anatikisa kiberiti tu ili wamkumbuke kwenye kulamba asali, huenda katengwa kimtindo.
 
Siyo hili tu la Serikali bali hata alivyofirwa na P Diddy anaogopa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…