Team Dimond nawasubiria mfunguke
Busy with hizi mambo za eskroo kwanza...Tanzania first diamond anafuata...namkubali huyo jamaa ila kwa hali ilivo sasa hivi asubiri kwanza kwakweli... #MapendoDaima
Tusubiri yatakayojiri humo ndani mi nasubiria lugha atakavyomwagika kingereza
Hebu angalia sasaivi
Tusubiri yatakayojiri humo ndani mi nasubiria lugha atakavyomwagika kingereza
Umeona chibu alicho kujibu?
Tusubiri yatakayojiri humo ndani mi nasubiria lugha atakavyomwagika kingereza
doh kajihami kabisa, c anatujua waswahili tulivyo tunapenda negativity kuliko positivity kama mtoa mada huyo. Anyway hii itakuwa mara ya pili kwake so sidhani kama itampa shida sana
Inferiority complex kwanini afikirie hivo naye ana tatizo kila kujihisi anaonewa why hamna hata hivo cha ajabu English is not our mother tongue
Ali kiba hana bahati
hataki show off..hata hivyo na yeye alikumbukwa kwa kawimbo kake kupigwa mjengoni.
kwahio unataka kusema alialikwa akachomoa???
tangu zitto asome escrow ripoti naona umeanza kubadilika una kua sasa very nice.
teh teh kwani nilikuaje???