Diamond Platnumz Ndani ya Jumba la Big Brother Africa: (Live Updates)

Diamond Platnumz Ndani ya Jumba la Big Brother Africa: (Live Updates)

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Tusubiri yatakayojiri humo ndani mi nasubiria lugha atakavyomwagika kingereza.Ni tofauti na nilivyoona Dimond yuko vizuri sana nmemkubali sana tisha Dimond asante kwa kuwakilisha vyema,waliomuona mmeona kijana wenu yuko poa ila najua watu hamtaacha kusema majungu mengi lakini ndio walivyo wasiokosa kutoa kasoro. Karibuni wakuu.
 
Team Dimond nawasubiria mfunguke
 
Attachments

  • 1417083671286.jpg
    1417083671286.jpg
    85.9 KB · Views: 1,201
Umeona chibu alicho kujibu?

doh kajihami kabisa, c anatujua waswahili tulivyo tunapenda negativity kuliko positivity kama mtoa mada huyo. Anyway hii itakuwa mara ya pili kwake so sidhani kama itampa shida sana
 
doh kajihami kabisa, c anatujua waswahili tulivyo tunapenda negativity kuliko positivity kama mtoa mada huyo. Anyway hii itakuwa mara ya pili kwake so sidhani kama itampa shida sana

Inferiority complex kwanini afikirie hivo naye ana tatizo kila kujihisi anaonewa why hamna hata hivo cha ajabu English is not our mother tongue
 
Inferiority complex kwanini afikirie hivo naye ana tatizo kila kujihisi anaonewa why hamna hata hivo cha ajabu English is not our mother tongue

tangu zitto asome escrow ripoti naona umeanza kubadilika una kua sasa very nice.
 
Diamond ana ninii kila sehemu yeye tu jamani big brother kama mnajua kiswahili kuna msanii mwingine huku mumuite nae jamanii asijekufa wakasema media zilikua hazimjaliii kwiii kwiiii
 
Back
Top Bottom