Diamond Platnumz Ndani ya Jumba la Big Brother Africa: (Live Updates)

Diamond ana ninii kila sehemu yeye tu jamani big brother kama mnajua kiswahili kuna msanii mwingine huku mumuite nae jamanii asijekufa wakasema media zilikua hazimjaliii kwiii kwiiii

Mmmh......upande wa pili wanakuckia Dinazarde angalia......maana ndugu yao anapewa bichwa na wacojielewa...hata hafikiri mbali saiz.....agu ivi ile video yake lin et????
 
Last edited by a moderator:
I like the way platnumz alivyoongea kiingereza, kwa kujiamini
 
Diamond ana ninii kila sehemu yeye tu jamani big brother kama mnajua kiswahili kuna msanii mwingine huku mumuite nae jamanii asijekufa wakasema media zilikua hazimjaliii kwiii kwiiii

bado hujajua kuwa msalaba unatumika wapi na jumlisha inatumika wapi
 
Mmmh......upande wa pili wanakuckia Dinazarde angalia......maana ndugu yao anapewa bichwa na wacojielewa...hata hafikiri mbali saiz.....agu ivi ile video yake lin et????

Heheeeeiya hii ngumu kumezaa angeitwa ally tusingepumuaa mbonaaaa wao maneno sie kazi tu Daimond hatuaibishiii kwa kweliii nampa heko, ,wapi Kim nana Paula kilaki
 
Last edited by a moderator:
hapa kazi tuu majungu kwao

Heheheiyyaaa.....hata wakileta majungu anawajulia hatari.....hahahaaaa kawaambia wakae na dictionary kabisaaa wajiandae kumsahihishiaaaa........wapi marking scheme......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…