Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
kwahio unataka kusema alialikwa akachomoa???
Itakua alikataa hapendi show off jamanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahio unataka kusema alialikwa akachomoa???
Umeona chibu alicho kujibu?
Diamond ana ninii kila sehemu yeye tu jamani big brother kama mnajua kiswahili kuna msanii mwingine huku mumuite nae jamanii asijekufa wakasema media zilikua hazimjaliii kwiii kwiiii
Mmmh......upande wa pili wanakuckia Dinazarde angalia......maana ndugu yao anapewa bichwa na wacojielewa...hata hafikiri mbali saiz.....agu ivi ile video yake lin et????
ali kiba hajaenda??? mbona kila siku Diamond tu???!!

bado hujajua kuwa msalaba unatumika wapi na jumlisha inatumika wapi
Mmmh......upande wa pili wanakuckia Dinazarde angalia......maana ndugu yao anapewa bichwa na wacojielewa...hata hafikiri mbali saiz.....agu ivi ile video yake lin et????
tatizo nyota
Hivi big brother bado ipo???
Heheeeeiya hii ngumu kumezaa angeitwa ally tusingepumuaa mbonaaaa wao maneno sie kazi tu Daimond hatuaibishiii kwa kweliii nampa heko, ,wapi Kim nana Paula kilaki

hapa kazi tuu majungu kwao
Tatizo nyotaaaaaaaaaaaaa kweliiiiii
Nyota ndo shiida yanguuuu......aiii nyotaaa nimewazidi wenzanguuuu......