Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Visiwa bahari ya hindi huko karibu na Comoro, huoni chotara hizo?mayotte ndio wapi
Acha wivu we nyemboHivi umeshajiuliza nikwanin huu uzi umedoda wkt rais wa wcb anatajwa ???
mayotte ndio wapi
DIAMOND PLATNUMZ A.K.A MSANII WA UJANJA UJANJA yuko ndani ya nchi ya MAYOTTE kwa ajili ya kufanya shoo mbili,ambazo moja itafanyika kesho na nyingine ni kesho kutwa kwenye uwanja wa mpira.
Ndivyo ilivyo si jambo la kushangaza,hasa kwa mwafrika.Cha msingi habari wanayo,kuwa wasiyempenda anazidi kuingiza pesa wao kawaachia majungu.Nyuzi zinazohusu maendeleo huwa hazina wachangiaji wengi ila ingekuwa nahusu ushambenga na kusutana ungeona watu wanvojiachia
Ahsante mpenzi wangu...Go baba tee go....
Jamaa yeye KESHAWAPA MAKAVU LIVE,huyo kaenda kupiga pesa. NA NIKUAMBIE KITU ...... KUANZIA SASA HUTOONA WAKIANDIKA UJINGA UJINGA MAANA WAMESHAJUA KUMBE JAMAA MWENYEWE HASOMEKI,ILA ILE KUWACHUNIA ALIKUWA ANAJIHARIBIA.Nakutakia kazi njema.