Diamond Platnumz ndani ya Mayotte

Diamond Platnumz ndani ya Mayotte

Kitu mayote hiyo bado na deni letu milioni kumi mlipe, na gari yenu ya kwanza tuliwakopesha na kuona Jakaya anatuita ikulu mlituomba namba yake tukawapa mkaishia kutusema majungu lakini hakuwasikiliza.
 
Jamaa yeye KESHAWAPA MAKAVU LIVE,huyo kaenda kupiga pesa. NA NIKUAMBIE KITU ...... KUANZIA SASA HUTOONA WAKIANDIKA UJINGA UJINGA MAANA WAMESHAJUA KUMBE JAMAA MWENYEWE HASOMEKI,ILA ILE KUWACHUNIA ALIKUWA ANAJIHARIBIA.
mi naona kuwajibu ndiyo anajiharibia. watu wanapenda na wasiojiweza.
 
Nyuzi zinazohusu maendeleo huwa hazina wachangiaji wengi ila ingekuwa nahusu ushambenga na kusutana ungeona watu wanvojiachia
Mkuu huwez kuwaona team kko hum halaf nachomkubali mond hajachelewesha katupia picha kama ilivyo, team kko wanachungulia na kusepa wao wanataka mziki wa tz uhushie namanga tu ikizid sana mombasa kwenye mwaliko wa gavana endapo arakuwa na sherehe
 
mi naona kuwajibu ndiyo anajiharibia. watu wanapenda na wasiojiweza.
Endelea kuwa unachungulia kwenye page zao uone kama watakuwa wanaandika maneno ya shombo kama zamani,ila kwa sasa ndio inaonekana hivo,lakini kimtazamo wa muda mrefu KAWAKOMESHA SANA.
 
Dplatnumz anakosea sana,inatakiwa kila mwaka anatengeneza documentary ya tour zake zote inaruka kwenye TV!
 
Mayotte is an archipelago in the Indian Ocean between Madagascar and the coast of Mozambique. It’s a department and region of France, though traditional Mayotte culture is most closely related to that of the neighboring Comoros islands. The Mayotte archipelago is surrounded by a coral barrier reef, which shelters a lagoon and marine reserve that are popular diving destinations.
Archipelago nao msamiati duh!
 
Hii ni kweli kabisa.
Basi ndio umshauri bosi wako afanye mchakato ile TV yake ije au kama ikishindikana alate documentary, hope hatokosa wadhamini wa kipindi.. Hahhahaah
 
Basi ndio umshauri bosi wako afanye mchakato ile TV yake ije au kama ikishindikana alate documentary, hope hatokosa wadhamini wa kipindi.. Hahhahaah
Husijali nitamfikishia.
 
Kwn show ilikuwa lini maana hatuoni mapicha picha au ilidoda nn mbona kmy hadi asa iv wakati show ilikuwa jana
 
Back
Top Bottom