Diamond Platnumz ndani ya Mayotte

Diamond Platnumz ndani ya Mayotte

Kwn show ilikuwa lini maana hatuoni mapicha picha au ilidoda nn mbona kmy hadi asa iv wakati show ilikuwa jana
Show ya kwanza imefanyika jana usiku kuamkia leo, na leo kuna shoo nyingine kubwa zaidi ya ile ambayo itafanyika uwanja wa mpira,kwahiyo timu nzima bado iko bize na awamu ya pili.
 
Show ya kwanza imefanyika jana usiku kuamkia leo, na leo kuna shoo nyingine kubwa zaidi ya ile ambayo itafanyika uwanja wa mpira,kwahiyo timu nzima bado iko bize na awamu ya pili.
Mmmh siamini maana domo mpenda sifa sana angekuwa ashapost nahisi show ilimdodea
 
Wala usihisi,ndio mimi mkuu. Na kwasasa tupo huku Mayotte.
Unaionaje kati ya ngoma Ya Harmonize ft Patoranking
na Rayvanny ft Patoranking
Ipi kali asee, hope umeziskiza zote
 
Unaionaje kati ya ngoma Ya Harmonize ft Patoranking
na Rayvanny ft Patoranking
Ipi kali asee, hope umeziskiza zote
Ngoja zikitoka ndio tutapata majibu.
 
Kweli diamond ameishiwa mpaka anafanya show mayotee hata Mr Nice alianzaga hivi hivi
 
IMEKUWA SIO KIBA TENA ROHO MBAYA TU ZIMEWAJAA
 
Back
Top Bottom