Diamond Platnumz ndani ya Mayotte

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7,386
Reaction score
5,965
DIAMOND PLATNUMZ A.K.A MSANII WA UJANJA UJANJA yuko ndani ya nchi ya MAYOTTE kwa ajili ya kufanya shoo mbili,ambazo moja itafanyika kesho na nyingine ni kesho kutwa kwenye uwanja wa mpira.

Hivi umeshajiuliza nikwanin huu uzi umedoda wkt rais wa wcb anatajwa ???
 
Ngazi ya watu,aendelee kutengeneza njia tu,kuna MB.wa zitafuata baadaye zitaanza kumtukana.
 
Mtalipa milioni kumi za diamond mlizo kopa mpaka leo hamjarudisha babeki au mwarabu mnamkopesha goooo chibu
 
Mayotte ni Kisiwa cha Nchi ya Ufaransa.
 
DIAMOND PLATNUMZ A.K.A MSANII WA UJANJA UJANJA yuko ndani ya nchi ya MAYOTTE kwa ajili ya kufanya shoo mbili,ambazo moja itafanyika kesho na nyingine ni kesho kutwa kwenye uwanja wa mpira.

Go chibu
 
Nyuzi zinazohusu maendeleo huwa hazina wachangiaji wengi ila ingekuwa nahusu ushambenga na kusutana ungeona watu wanvojiachia
Ndivyo ilivyo si jambo la kushangaza,hasa kwa mwafrika.Cha msingi habari wanayo,kuwa wasiyempenda anazidi kuingiza pesa wao kawaachia majungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…