NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
mi naona kuwajibu ndiyo anajiharibia. watu wanapenda na wasiojiweza.Jamaa yeye KESHAWAPA MAKAVU LIVE,huyo kaenda kupiga pesa. NA NIKUAMBIE KITU ...... KUANZIA SASA HUTOONA WAKIANDIKA UJINGA UJINGA MAANA WAMESHAJUA KUMBE JAMAA MWENYEWE HASOMEKI,ILA ILE KUWACHUNIA ALIKUWA ANAJIHARIBIA.
nimependa jina lakoJamamo D, hongera zake, yupo juu kama Michael jackson
Mkuu huwez kuwaona team kko hum halaf nachomkubali mond hajachelewesha katupia picha kama ilivyo, team kko wanachungulia na kusepa wao wanataka mziki wa tz uhushie namanga tu ikizid sana mombasa kwenye mwaliko wa gavana endapo arakuwa na shereheNyuzi zinazohusu maendeleo huwa hazina wachangiaji wengi ila ingekuwa nahusu ushambenga na kusutana ungeona watu wanvojiachia
warumi sikusomiJamamo D, hongera zake, yupo juu kama Michael jackson
Endelea kuwa unachungulia kwenye page zao uone kama watakuwa wanaandika maneno ya shombo kama zamani,ila kwa sasa ndio inaonekana hivo,lakini kimtazamo wa muda mrefu KAWAKOMESHA SANA.mi naona kuwajibu ndiyo anajiharibia. watu wanapenda na wasiojiweza.
Nimependa ulivyojibuHiyo ya kupondana au kupendana mtajijuwa wenyewe, mie sipo huko.
Yeye na wewe na hao wenzie wote mnabahashuka tu.
Mkikuwa mtaacha.
Archipelago nao msamiati duh!Mayotte is an archipelago in the Indian Ocean between Madagascar and the coast of Mozambique. It’s a department and region of France, though traditional Mayotte culture is most closely related to that of the neighboring Comoros islands. The Mayotte archipelago is surrounded by a coral barrier reef, which shelters a lagoon and marine reserve that are popular diving destinations.
Basi ndio umshauri bosi wako afanye mchakato ile TV yake ije au kama ikishindikana alate documentary, hope hatokosa wadhamini wa kipindi.. HahhahaahHii ni kweli kabisa.
Hongera kwa ku-googleKisiwa kilichopo kati ya Msumbiji na Madagascar, karibu ya visiwa vya Comoros.
hahhaahHusijali nitamfikishia.
nasikia walijikuta wako wenyewe ukumbini hakuna mtuKwn show ilikuwa lini maana hatuoni mapicha picha au ilidoda nn mbona kmy hadi asa iv wakati show ilikuwa jana