Umesikia wapi?nasikia walijikuta wako wenyewe ukumbini hakuna mtu
Show ya kwanza imefanyika jana usiku kuamkia leo, na leo kuna shoo nyingine kubwa zaidi ya ile ambayo itafanyika uwanja wa mpira,kwahiyo timu nzima bado iko bize na awamu ya pili.Kwn show ilikuwa lini maana hatuoni mapicha picha au ilidoda nn mbona kmy hadi asa iv wakati show ilikuwa jana
Hahahaa inaitwa adui mwombee njaanasikia walijikuta wako wenyewe ukumbini hakuna mtu
Mmmh siamini maana domo mpenda sifa sana angekuwa ashapost nahisi show ilimdodeaShow ya kwanza imefanyika jana usiku kuamkia leo, na leo kuna shoo nyingine kubwa zaidi ya ile ambayo itafanyika uwanja wa mpira,kwahiyo timu nzima bado iko bize na awamu ya pili.
[emoji3] [emoji3] tim kiba aoUmesikia wapi?
Jaribu kuonana na ruge mzee wa fursaNataka nijue Fursa zilizopo huko nihamie
Unaionaje kati ya ngoma Ya Harmonize ft PatorankingWala usihisi,ndio mimi mkuu. Na kwasasa tupo huku Mayotte.
Hongera kwa ku-google
Wewe ni Dimpoz?Hivi umeshajiuliza nikwanin huu uzi umedoda wkt rais wa wcb anatajwa ???
HahaaaaTeam kupumuliwa hawapendi vitu kama hivi