Diamond Platnumz ndio msanii namba mbili Afrika kwa kumiliki magari ya kifahari. Mtandao mkubwa duniani watoa orodha

Diamond Platnumz ndio msanii namba mbili Afrika kwa kumiliki magari ya kifahari. Mtandao mkubwa duniani watoa orodha

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani.

Msanii namba moja Afrika Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million 70.....yaaani katika wasanii wote Africa Diamond Platnumz ndio namba mbili.

Asante sana Mwenye enzi Mungu kwa kutujalia hii zawadi ya shujaa kutoka Tandale anaetupa heshima kama taifa.


 
kuna sehemu niliona page ya sir andy chande kapost 2018 kwamba dogo alikua 5 drgreee holder mason.... Si haba akaze afike walau 13 degrees.
 
Chawa Aliyeshiba Damu Ndiyo Kumekucha Sasa Hivi
Lete Maneno........
Meli Ataanza Kumiliki Lini?
Pole sana mkuu naelewa maumivu unayopitia, lakini roho mbaya haukuzaliwa nayo umeipata baada ya kunyooshwa na maisha.

Cha muhimu tafuta maisha na utaona ilivyo vema kufurahia mafanikio ya kijana mwenzio.
 
Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani.

Msanii namba moja Africa Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million 70.....yaaani katika wasanii wote Africa Diamond Platnumz ndio namba mbili.

Asante sana Mwenye enzi Mungu kwa kutujalia hii zawadi ya shujaa kutoka Tandale anaetupa heshima kama taifa.


Anastahili
 
Tafuta pesa Mkuu.....!

Ukitafuta Pesa, hata ukawa Billionea, utajua kama Millioni 1 inakuhusu, kuidai ni haki yako, coz umetafuta mwenyewe.
Uko sahihi kabisa. Mimi hapa nilipo naweza kumpa mtu hata laki moja kwa hiari yangu na wala huwa sijisikii kupungukiwa na chochote, lakini ikitokea kwa bahati mbaya nikapoteza hata ile coin ya 100 tu ; huwa inaniuma sana
 
Back
Top Bottom