sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Fanya kama ni uongo ili usipate depressionKama ni kweli asingelilia milioni 800
Tafuta pesa Mkuu.....!Kama ni kweli asingelilia milioni 800
Well put, I must sayTafuta pesa Mkuu.....!
Ukitafuta Pesa, hata ukawa Billionea, utajua kama Millioni 1 inakuhusu, kuidai ni haki yako, coz umetafuta mwenyewe.
Mkuu umeishia level gani ya Elimu?kuna sehemu niliona page ya sir andy chande kapost 2018 kwamba dogo alikua 5 drgreee holder mason.... Si haba akaze afike walau 13 degrees.
Pole sana mkuu naelewa maumivu unayopitia, lakini roho mbaya haukuzaliwa nayo umeipata baada ya kunyooshwa na maisha.Chawa Aliyeshiba Damu Ndiyo Kumekucha Sasa Hivi
Lete Maneno........
Meli Ataanza Kumiliki Lini?
Pole sana, wivu na chuki havikai nyumba moja lazima vitakuletea shida.So what?
Wivu kwa kipi? Huyo mumeo anaye twerk, anatingisha kalio kupata hela?Pole sana, wivu na chuki havikai nyumba moja lazima vitakuletea shida.
Sasa huku mkuu ni wivu wa wazi kabisa unaoneshaWivu kwa kipi? Huyo mumeo anaye twerk, anatingisha kalio kupata hela?
AnastahiliKwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani.
Msanii namba moja Africa Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million 70.....yaaani katika wasanii wote Africa Diamond Platnumz ndio namba mbili.
Asante sana Mwenye enzi Mungu kwa kutujalia hii zawadi ya shujaa kutoka Tandale anaetupa heshima kama taifa.
Halililii anadai kilicho chakeKama ni kweli asingelilia milioni 800
Mkuu Kwani million 800 ni ndogo? Nasiokwamba analilia ni hela ambayo ipo kwenye mkataba ni haki yakeKama ni kweli asingelilia milioni 800
Uko sahihi kabisa. Mimi hapa nilipo naweza kumpa mtu hata laki moja kwa hiari yangu na wala huwa sijisikii kupungukiwa na chochote, lakini ikitokea kwa bahati mbaya nikapoteza hata ile coin ya 100 tu ; huwa inaniuma sanaTafuta pesa Mkuu.....!
Ukitafuta Pesa, hata ukawa Billionea, utajua kama Millioni 1 inakuhusu, kuidai ni haki yako, coz umetafuta mwenyewe.
Kwa hiyo ukiwa bilionea usiokote 1000!?Kama ni kweli asingelilia milioni 800
Hujui biashara nyamaza wewe endelea kulimaKama ni kweli asingelilia milioni 800