Diamond Platnumz ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF (AFCON). Kama atatokea mwingine anarudia

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017.

Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.

IMG-20231020-WA0000.jpg
 
View attachment 2787160

Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017.

Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
Naam ni vizuri kuwakumbusha kua kila wasanii wao wanachowaza kufanya Legend Diamond alishakifanya miaka mingi iliyopita
 
Habari mpya mjini mond kaongea broken alivyoenda kuwasalimia watoto wake wakati wanaagana, watoto wanalilia kuja naye huku, wakenya wamecheka, kiba mnyama wimbo wake mkali mi yanga Ila ule wimbo mzuka.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Sasa hivi Makolo wanadai hii event ni ya FIFA wamekuja na hiyo swagger 🤔
 
Habari mpya mjini mond kaongea broken alivyoenda kuwasalimia watoto wake wakati wanaagana, watoto wanalilia kuja naye huku, wakenya wamecheka, kiba mnyama wimbo wake mkali mi yanga Ila ule wimbo mzuka.
Punguza maweweseko Dogoo!!
 
Back
Top Bottom