sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Naam ni vizuri kuwakumbusha kua kila wasanii wao wanachowaza kufanya Legend Diamond alishakifanya miaka mingi iliyopitaView attachment 2787160
Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017.
Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
Naunga mkono hoja 👍👏Habari mpya mjini mond kaongea broken alivyoenda kuwasalimia watoto wake wakati wanaagana, watoto wanalilia kuja naye huku, wakenya wamecheka, kiba mnyama wimbo wake mkali mi yanga Ila ule wimbo mzuka.
Mbona kama umepanic?nani anaimba leo kwa mkapa?
Alikiba kamuumiza rohoHaka kachawa ka WCB kanaishi maisha ya kujitesa sana,kamekuja spidi kama kamewekwa ndimu vile.
Sio itakuwa, kiba live leo, kashatang'azwa Jana e fm michezo mpaka wamepiga wimbo wake mnyama mwishoni, Leo anaonekana live yanga walikuwa hawampi heshima yake.Itakuwa Ali Kiba tu...maana si kwa muhaho huu
Atuonyeshe Na Ile Ndege Aliyonunua Maana Alikuwa Anahaha JFMbona kama umepanic?nani anaimba leo kwa mkapa?
Nazungumzia AFCON mashindano makubwa kabisa Africa nawezaje kupanicMbona kama umepanic?nani anaimba leo kwa mkapa?
Naam keki na kimba lazima vijitenge.Naam ni vizuri kuwakumbusha kua kila wasanii wao wanachowaza kufanya Legend Diamond alishakifanya miaka mingi iliyopita
Ndo kanuni ya uchawaHivi ukiwa chawa automatically unakuwa huna akili?
Nasikia yule anayevaa vipensiMbona kama umepanic?nani anaimba leo kwa mkapa?
Punguza maweweseko Dogoo!!Habari mpya mjini mond kaongea broken alivyoenda kuwasalimia watoto wake wakati wanaagana, watoto wanalilia kuja naye huku, wakenya wamecheka, kiba mnyama wimbo wake mkali mi yanga Ila ule wimbo mzuka.