much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 11,461 Reaction score 17,183 Oct 20, 2023 #21 sinza pazuri said: Nazungumzia AFCON mashindano makubwa kabisa Africa nawezaje kupanic Click to expand... Haya ni mashindano ya FIFA ndo maana yanaoneshwa Dunia nzima
sinza pazuri said: Nazungumzia AFCON mashindano makubwa kabisa Africa nawezaje kupanic Click to expand... Haya ni mashindano ya FIFA ndo maana yanaoneshwa Dunia nzima
NAHAL JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 1,670 Reaction score 3,281 Oct 20, 2023 #22 saleni said: Maweweseke ya mkeo kitandani, punguza kiranga komo babu wewe. Click to expand... Umeamua kunisuta Binti yangu Saleni!!Kwanini lakini??
saleni said: Maweweseke ya mkeo kitandani, punguza kiranga komo babu wewe. Click to expand... Umeamua kunisuta Binti yangu Saleni!!Kwanini lakini??
saleni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 1,880 Reaction score 2,843 Oct 20, 2023 #23 Babu Fyee said: Umeamua kunisuta Binti yangu Saleni!!Kwanini lakini?? Click to expand... Nisamehee nafuta mpendwa, kumbe we uliweka utani tu.
Babu Fyee said: Umeamua kunisuta Binti yangu Saleni!!Kwanini lakini?? Click to expand... Nisamehee nafuta mpendwa, kumbe we uliweka utani tu.