Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
619
Get ready, on Friday dis week mkali wenu wa Afro pop anadondosha new hit song.

Chanzo: Diamond Platnumz Twiter A/C

...Updates...

Wimbo tayari umetoka.

 
Last edited by a moderator:
Sio wakati sahihi wa kutoa wimbo mpya hasa kipindi hiki cha utumbuzi wa majipu,watu bizeee na Braza Magu
 
ahahaha leta song iyo mzee uku tunawacheki watu wakitumbuliwa majipu hatar sanaaaaa
 
Sio wakati sahihi wa kutoa wimbo mpya hasa kipindi hiki cha utumbuzi wa majipu,watu bizeee na Braza Magu

Diamond sio msanii wa Tanzania tu..!

Hata hivyo vugu la magu halina impact kuzuia yeye asifanye kazi na zikafanikiwa, ni sawa na waliokuwa wanasema akishabikia CCM atakosa tuzo lakini kipindi hichohicho cha kampeni akawapoteza na tuzo zaidi ya kumi..!
 
DIAMOND hajawahi kupoteza mvuto. Hii hapa show yake ya jana A town.

 
Utajuaje kama ni hit kabla ya kuisikiliza na kuona inavokubalika.

Huwenda ikawa ndo nyimbo itakayomshusha na kumpoteza

Ni hit kwa sababu ndio utabiri wake unavosema...na hii ni kutokana historia ya jamaa kwa kila anachokiachia ni homa ya majiji,so history makes itself!
 
Utajuaje kama ni hit kabla ya kuisikiliza na kuona inavokubalika.

Huwenda ikawa ndo nyimbo itakayomshusha na kumpoteza

Diamond hata aongee tu na tiffah kidooogo kitu kiwekewe beat, tutaipenda na itakuwa hit Afrika na tuzo tutabeba hadi BET
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…